Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ndiyo malalamiko yangu ya muda mrefu, viongozi wetu wanaanzisha mambo mengi bila kujipanga mwisho wake hakuna tija yeyote inayoonekana.Unapoona kwenye mahusiano watu wanagombana lakini hawaachani jua hao wanapendana sana na hutimiziana haja zao mubashara kabisa! Hufikishana kileleni!!!
Mahusiano mengi yamevunjika kutokana na tatizo sugu la kutofikishana kileleni hakika hii ni Kero kubwa mno
Elimu ina pande mbili, unaweza kusoma na ukafaulu mitihani lakini usielimike na mwingine anaweza asisome elimu rasmi lakini akaelimika na kuwa mtu bora kabisa
Ni katika hilo la elimu kuna utashi utayari kujituma kuelewa na kiwango cha IQ pia! Kuna watu kwa njia za ajabu kabisa wamepata mafanikio yanayoliliwa na wengi lakini kwakuwa kiwango chao cha ufahamu ni kidogo sana wamejikuta wanaangukia pua na kufeli kabisa
Kwenye mfumo wa taa za magari kuna taa inawaka sana inaitwa spotlight...hii haiwashwi hovyo! Dar es salaam ni spotlight ya nchi kuna tofauti kubwa sana kati ya rc wa Kigoma na rc wa Dar
Chochote kinachofanywa Dar kinakuwa kama mwongozo wa kwingine kote
Mtu ambaye anabamba sana kwasasa kwenye mijadala ni bwana Makonda (bashite?) vyovyote iwavyo kati ya wengi wanaomponda wengine ni kutokana tu na wivu na kijicho! U-rc wa Dar si nafasi ndogo ati pesa hata kama huitaki itakufuata tu na ukiikataa basi unahitaji kupimwa akili
Tumjadili rc kwa hulka yake ya kutotimiza yale anayoyaanzisha. Hili halina tofauti na ile Kero ya kutofikishwa kileleni
Hulka hii mbaya ni sawa na chumba kile cha mahututi gereza la fikra
Haya yameishia wapi?
Vitambulisho maalum vya walimu ili wapande bure
Dar tuitakayo
Operation Ondoa ombaomba
Kero za wanadarisalama
Na operation nyingine nyingi zilizifeli kabisa
Shida ni moja maandalizi na kushirikishana hakuna. Lakini Dar ni jiji lenye wataalam na wasomi wa kila kaliba iweje hakuna kujadiliana kwanza?
La dawa za kulevya ndio bye-bye tumeachwa na hamu zetu hatujafikishwa kileleni tunachafuliwa tu kila wakati
Kama ukiamua kuwa banditu baki hivyohivyo usiwe kama mkate mgumu mbele ya chai
Mwanaume kakaa mahabusu siku zaidi ya 100 lakini katoka na tabasamu wewe Leo kuombwa tu kuonyesha vyeti unamwaga michozi hadharani! Nini maana ya kuwa kiongozi?
Na wameambukiza Mpaka taasisi nyingine mambo ni yaleyaleHaya ndiyo malalamiko yangu ya muda mrefu, viongozi wetu wanaanzisha mambo mengi bila kujipanga mwisho wake hakuna tija yeyote inayoonekana.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji144] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ni sawa na kujitekenya mwenyewe na kucheka maana iweje sasa kumlambisha dusheleleee mkeo kisha ukachomoa kabla hajakojoa?
Shame on them
[emoji120] [emoji817] [emoji111]one of the best threads in jf!!
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Uko juu mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tumefunzwa kuwa wapole kama hua na werevu kama nyokaUna bahati umeanza na akili za usiku,,,,ungeweka tuu neno "RC" kwenye heading yako,hii post usingeiona,,,wanainyofoa fastaaa.JF imevamiwa na makada wa ccm
Amefanikiwa kukufikisha kileleni jamani?[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana akili ya kiuandishi!
Sio wengine hapa kujua kusoma na kuandika tunajifanya waandishi na kuleta mada zisizo na kiuno.
Mshana ntafute Nkupe balimi 3 Si unajua tena hehehe....uzi muruwaaa
Kiroba ya ice kaka haipo tena RIP [emoji24] [emoji24] [emoji24]Mshana ntafute Nkupe balimi 3 Si unajua tena hehehe....uzi muruwaaa
Ova
Tumehamia balimi 4500/ tu stim ushapata.....Kiroba ya ice kaka haipo tena RIP [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Ngano ile kaka ina kimeaTumehamia balimi 4500/ tu stim ushapata.....
Ova
[emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji817] [emoji817] [emoji111] ya Lissu ni zaidi ya tujuavyo! Kumbuka Ben is silenced forever [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji144] [emoji144] [emoji144] very painfulmkuuu mshana jinsi ulivyo iwasilisha hoja yako ni ushaidi tosha kua ukiambiwa uonyeshe vyeti vyako haita chukua sekunde kuweka mzigo mezani.hongera si jambo dogo kuonyesha ubunifu huu wa uwasilishaji wa maada.
mkuu mshana fanya liwezekanalo hata ikiwa kwa yale mambo yetu ya kuzunguka mbuyu ili lissu awe rais wa tls,ili watu walie vizuriiii
Lizaboni, wakudadavuwa, mwasita moja, pohamba and company may have a better answer.You have spoken well!