Kero hii ya kutofikishwa kileleni

Kero hii ya kutofikishwa kileleni

Mimi naona ndio mipango yenyewe.....yaani lengo ni kuanzisha na kuishia njiani tofauti na sisi tuanavyofikiria ya kuwa tukianziasha lazima tufike mwisho
NB:ni janga la kitaifa kutokufika kileleni kwa wanawake wengi(sector nyingi)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ningekua na dada ningekupa bureeee Mshana jr sio kwa hoja hizi, siku zote kibamia hakiwezi kufikisha kileleni
[emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Nime kusoma mkunwa Mshana, hongera sana kwa Mada nzuri nilichanganya Madawa mkuu sorry[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mwanamke unalala kitandani hqta hutingishiki utafikiri upo ICU halafu unataka ufikishwe kileleni, hayo pia yatakuwa maajabu.

Wanawake msiojituma kitandani suala la kufikishwa kileleni mtalisikia kwenye mitandao ya kijamii tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]umesoma na maudhui lakini
 
Ndio ni maandishi yangu. ... Umesoma heading tu au pamoja na maudhui?
Nmesema mpk maudhui,ili ni andiko lako la kwanza limeonesha chuki kubwa dhidi Mh Makonda pengine niwe wazi katika operesben hii mm no Mhanga nikiteseka sanaa kukosa maleezi ya baba.naomba kwa ili Mh Makonda tumpongeze na tumwombee atufikishe kileleni na wanadsm km hamfikishwi kileleni shemeji mwandaliwe ndo mtafikishwa ila mkitanua tu na kusubiri makonda awatumbukizie hamtofika kileleni(mpen ushirikiano)
 
Naomba niongee hili toka moyoni na leo ni Jumapili... Mimi ni mkristo ninayeitafuta njia ya wokovu kwa bidii.. Sina CHUKI na mtu yeyote... Kiwango changu cha ufahamu na uchaji wangu wa kiroho vimenivusha huko tayari
 
Nimerudi kusoma nimegundua nimehukumu jina la kitabu na si maudhui kwa komenti yangu ya kwanza[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wengi hugombana na waandishi kwa sababu hii
 
Back
Top Bottom