Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #261
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi naona ndio mipango yenyewe.....yaani lengo ni kuanzisha na kuishia njiani tofauti na sisi tuanavyofikiria ya kuwa tukianziasha lazima tufike mwisho
NB:ni janga la kitaifa kutokufika kileleni kwa wanawake wengi(sector nyingi)