[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi naona ndio mipango yenyewe.....yaani lengo ni kuanzisha na kuishia njiani tofauti na sisi tuanavyofikiria ya kuwa tukianziasha lazima tufike mwisho
NB:ni janga la kitaifa kutokufika kileleni kwa wanawake wengi(sector nyingi)
Ana furahia saaaana tena sana, haumiiHaumiii
Ok,Basi hii ni tofauti na muktadha wa mada hii.. Naamini hujaisoma.. Umechangia tu kwa kutumia kichwa cha habari
[emoji23] [emoji23] [emoji23]umesoma na maudhui lakiniMwanamke unalala kitandani hqta hutingishiki utafikiri upo ICU halafu unataka ufikishwe kileleni, hayo pia yatakuwa maajabu.
Wanawake msiojituma kitandani suala la kufikishwa kileleni mtalisikia kwenye mitandao ya kijamii tu.
Nmesema mpk maudhui,ili ni andiko lako la kwanza limeonesha chuki kubwa dhidi Mh Makonda pengine niwe wazi katika operesben hii mm no Mhanga nikiteseka sanaa kukosa maleezi ya baba.naomba kwa ili Mh Makonda tumpongeze na tumwombee atufikishe kileleni na wanadsm km hamfikishwi kileleni shemeji mwandaliwe ndo mtafikishwa ila mkitanua tu na kusubiri makonda awatumbukizie hamtofika kileleni(mpen ushirikiano)Ndio ni maandishi yangu. ... Umesoma heading tu au pamoja na maudhui?
Ngoja nisome sasa hivi mkuu...hahahahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]umesoma na maudhui lakini
Naomba niongee hili toka moyoni na leo ni Jumapili... Mimi ni mkristo ninayeitafuta njia ya wokovu kwa bidii.. Sina CHUKI na mtu yeyote... Kiwango changu cha ufahamu na uchaji wangu wa kiroho vimenivusha huko tayariNmesema mpk maudhui,ili ni andiko lako la kwanza limeonesha chuki kubwa dhidi Mh Makonda pengine niwe wazi katika operesben hii mm no Mhanga nikiteseka sanaa kukosa maleezi ya baba.naomba kwa ili Mh Makonda tumpongeze na tumwombee atufikishe kileleni na wanadsm km hamfikishwi kileleni shemeji mwandaliwe ndo mtafikishwa ila mkitanua tu na kusubiri makonda awatumbukizie hamtofika kileleni(mpen ushirikiano)
Nimerudi kusoma nimegundua nimehukumu jina la kitabu na si maudhui kwa komenti yangu ya kwanza[emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23]umesoma na maudhui lakini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wengi hugombana na waandishi kwa sababu hiiNimerudi kusoma nimegundua nimehukumu jina la kitabu na si maudhui kwa komenti yangu ya kwanza[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ni kweli mkuu ila mimi si kawaida yangu kukoment bila kusoma ni leo tu imetokea na nimeumbuka.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wengi hugombana na waandishi kwa sababu hii