Kero hii ya kutofikishwa kileleni

Nusu niipotezee topic, nilijua umeanza darasa lako la kufunda, ila huyu bashite akishachoka kukaa huko bondeni, makomeo akimrudisha, tunaomba arudi moja kwa moja kolomije kulima vitunguu.

Simu yako ndio lile toleo jipya
 
We Mshana kiboko ulivoanza khaa umeniacha hoi ukahamia kwa Daudi Bashite teena jamani sasa hivi mwenzetu akirudi toka South Africa ataenda Mawingu fm kulia tena
 
Inawezekana tabia ya mfikishwa ikasababisha mfikishaji asifikishe. Wengi wanaangalia upande wa kiza wa muanzilishi ila hatuoni upande wa mwanga na hii ni tabia ya umasikini katika jamii.
 
Nusu niipotezee topic, nilijua umeanza darasa lako la kufunda, ila huyu bashite akishachoka kukaa huko bondeni, makomeo akimrudisha, tunaomba arudi moja kwa moja kolomije kulima vitunguu.

Simu yako ndio lile toleo jipya
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kama mmechafuliwa bila kufikshwa kileleni, chepukeni!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mshana Jr...umeanza kama hueleweki vile lkn mwisho umeeleweka hata kwa yule aliyepata Bashite mtihani wa darasa la NNE kwenda la tano.
 
Kama unataka kufikishwa kileleni, kapande mlima kilimanjaro..
 
Hili la kutofikishwa kileleni linatuathiri sana lkn nikitafakari zaidi napata shida kuamini kama mama Daudi kweli anafikishwa kilele au jamaa si riziki! Kwakweli sijui ..naishia kuguna maana matokeo yakufikishwa kilele kwa mama yule ni kuongezeka lkn mpaka leo ile namba haigawanyi kwa yoyote zaid ya moja na yenyewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wapenda ngono tumekuja tunakutana na intelligensia ya ajabu!!! Mkuu kapangilia hoja yake vizuri sana
Unapenda lakini cha ajabu hutaki nikupe koni.... Sijui kabisa upoje ati.
 
mshana umetisha mkuu ulipotea siku kadhaa bila shaka ulikuwa unaandaa nondo hizi...
Bashite naskia amechukua likizo ya miezi miwili kaenda kujipumzikia SA maana najua jiji limekuwa chachu.
Nawaache kukurupuka ovyo tunaanza na mmoja mmoja tu mpaka tuwamalize
 
Mshana makonda bashite hajafikishwa kileleni ndio maana analia. Target yake ilikuwa kumimpress bwana mkubwa nasikia utakatifu nako hautaki na eti ukimwita mtakatifu au mtukufu basis ni uchochezi ili trust alokuwanayo kwa bosi isipotee. Kumbe jamaa kashashituka na sasa
 
Cha kushangaza sana kumbe haya mambo yanaambukiza. Nimejaribu kuangalia sekta nyingine mambo ni yaleyale! Operation za jeshi la police za tinted na spotlight sijui zimeishia wapi
Bro umenivuta vizuri sana,nikajua yale mambo ya faragha sheikh..kumbe ufundi flani tu wa kiuandishi katika kuivuta hadhira.
 
Unamaanisha anaishia kuzama tu chunvini na kusinzia fofofo?
 
Mshana Jr. Ktk Ubora wake.... Lakini kabla sijausoma uzi huu, nilijiuliza sana.. Mshana kapotea lini njia ya Mambo haya ya ngono tena... Tena hasa wkt huu wa Kwaresma..!! Respect mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…