Kero katika mahusiano ya ndoa ....

not SATISFACTORY!
 
yaani mwanamke akijidanganya anifanyie huo ujinga....!ndo ananipa changamoto ya kutafuta kimada sasa

mbona vimada mnao tu bila hata changamoto.....mara moja moja lazima umsh2e kidogo mwenzio ukiona anacheza nje ya mstari....
 
yaani mwanamke akijidanganya anifanyie huo ujinga....!ndo ananipa changamoto ya kutafuta kimada sasa

Na wewe kwanini usikae na mke wako kwanini umpe sababu ya kukufungia mlango....?

Ila mie sifungii mtu mlango wala si nag...aende tuu na mie ntaenda na rafiki zangu (thats why I gotta keep all my friends ).....
 
Duh,hii kazi kwelikweli ila huyu dada ndo anafaa,kwasababu cku ingine jamaa ataogopa kudanganya
 
SASA nitakaa na huyo mke 24/7?......
i need friends around bana!....
Provided i respect my body,and stay FAITHFULLY why shouldn't i mingle?
 
Duh,hii kazi kwelikweli ila huyu dada ndo anafaa,kwasababu cku ingine jamaa ataogopa kudanganya
sio kweli kwamba ataogopa KUDANGANYA!instead,unamuandaa mtu kuwa MWONGO BY PROFESSIONAL!i mean anadesign mbinu mpya kabisa AMBAZO HUENDA ZIKAWA HATARI ZAIDI!maanake hutakaa ugundue,we utakuwa unaletewa tu watoto wa nje ikibidi na UKIMWI!

HEBU TUMIENI AKILI NYIE WA-BEIJING!ebo
 
Causin halafu ukisha mfungia mlango ndo inakuwaje? akikununia saa zote homo ndani utapata raha gani...? arghhhhhhhhh mwache tuu aende..hawezi kuogopa kudanganya atatafuta trick nyingine za kudanganya...anyway the idea of locking him inside makes me very exhausted...
 
SASA nitakaa na huyo mke 24/7?......
i need friends around bana!....
Provided i respect my body,and stay FAITHFULLY why shouldn't i mingle?

of course u do, I would hate to see him 24/7 either ..... ila yule mama mpaka kumfungia mme wake ujue huyo baba ni mzururaji wa kufa wala hajui ku-spend quality time with his family... thats why may be she was enraged....
 
exactly mami!...kwamaelezo ya mdada, mkaka ni kurudi 6-7...wkend hayupo, holiday hana..khaa..
 
Hii ndiyo MJ1 aliandika hivi, "Wakati mwingine huwa mnatubaka." Kweli huku ni kubaka.
 
Duh kuna wanaume wamejaliwa wake hadi nawaonea wivu jamani loh... hivi kuna chuo kinachofundisha ujasiri kama huu? nataka niende maana mie nilikuwa mpooooole yaani akikohoa tu mwenyewe namtafutia viatu, sox na kumshikia kitasa cha mlango waziiiii aende. Mbaya zaidi hadi mafuta ya gari nlikuwa namwekea!!!
 
hehehehe!
huyu sasa ni WA KIUME!
mwanaume wa ukweli huwa haruhusu kabisa hiyo critical stage katika mahusiano!
hapo naona kuna tatizo jingine jipya la INCOME
 
hivi dearest....mhhh ngoja tu ninyamaze!
 
hehehehe!
huyu sasa ni WA KIUME!
mwanaume wa ukweli huwa haruhusu kabisa hiyo critical stage katika mahusiano!
hapo naona kuna tatizo jingine jipya la INCOME

hapana Teamo unadhani hakuwa nazo?? Alikuwa nazo sana kwani alikuwa akifanya kazi nzuri tu ila ndo hivyo----penmgine pesa zake zilikuwa na kazi nyingine ya muhimu zaidi.
 
hapana Teamo unadhani hakuwa nazo?? Alikuwa nazo sana kwani alikuwa akifanya kazi nzuri tu ila ndo hivyo----penmgine pesa zake zilikuwa na kazi nyingine ya muhimu zaidi.

ANAWEZA KUWA NA PESA LAKINI asiwe responsible!KATIKA MAKOSA MAKUBWA wanaume huwa wanajichanganya ni ile lack-of-responsibilities!
kwa akili ya wanawake ilivyo......!hata kama mwanamke ana hela A MAN MUST PROVIDE FOR HIS FAMILY...walau kwa 90%,kinyume na hilo huwa kunakuwa na migogoro isiyoisha!

sasa huyo alijisahau kuwa responsible kwasababu kubwa mbili
1)ALIKUWA ANAJUA KABISA UNAWEZA KU-INCURR COSTS ZOTE BILA YEYE!hata kama na yeye anaweza
2)HAKUWA NA UWEZO HUO

sababu ya pili HAINA MASHIKO kwa kurejea post yako nukuliwa hapo juu!
 
Habari ndiyo hiyo wakati mwingine inabidi ugangamare ukiona upole wako hausaidii na unaendelea kupata mateso ndani ya roho basi siku nyingine unafunga mlango na kuficha pairs zote za funguo....akiwa mwendawazimu anaweza kuvunja mlango huyooooo akaendela na hamsini zake...lol!
 
kweli huyo atakuwa mwendawazimu...na akitoka ndio kimja hiyo hutajua pa kumpatia...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…