KERO Kero: Kuna shida kubwa sana ya maji jiji la Mwanza (Nyamagana)mitaa ya Igoma, Machinjioni, kwa Kibeshi, Mhandu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

KANYAGWANDA

Member
Joined
Apr 16, 2023
Posts
21
Reaction score
56
Sijui ni viongozi wa MWAUWASA wanataka kumgombanisha mama na wananchi kwa makusudi au ni vipi.Yaani maji yanaweza kukosa mwezi mzima na viongozi wapo tu ofsini.

Wizara ya Maji chini ya AWESO em fatilia hili limekuwa kero inayojirudia mara kwa mara.Mama anamwaga fedha nyingi sana kwenye MAJI ila wananchi tunateseka shida ni nini??

Asanteni.
 
SHIDA YA MAJI KWA SASA NI NCHI NZIMA, KWA DAR MAENEO KAMA GOBA NA UBUNGO NI MSIBA MZITO...MITANO TENA.
 
Miaka 61 serikal ya CCM
imeshindwa hata kumaliza shida ya maji
 
Aweso tapeli tu unawekaji afisa mahusiano kwenye nafasi ya ukurungezi wa mamlaka ya maji kubwa kama mwanza? Matokeo yake picha ni nyingi kuliko huduma inayotolewa.
 
Aweso tapeli tu unawekaji afisa mahusiano kwenye nafasi ya ukurungezi wa mamlaka ya maji kubwa kama mwanza? Matokeo yake picha ni nyingi kuliko huduma inayotolewa.
Yaani ukiona picha zinazopigwa za miradi ya maji plus wananchi wanavyolalamika suala la maji unabaki mdomo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…