comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
80%Sio wote inategemea kiongozi wao ni mtu wa aina zingatia sio wote
Jamaa wanakera sanaKuna yale maombi ya usiku wanapiga makelele mpaka unatamani ukawatembezee bakora
Shehe yupi?Mashekhe mpo busy na makanisa baada ya wenzenu kulamba hukumu ya kifo
USSR
kwanza wanajitia wanamjua sana mungu kwenye sherehe zao hawataki wimbo wowote tofauti na kwaya mara kuangalia mipira thambi yaani ukiwa mlokole automatic una changamoto ya afya ya akiliJamaa wanakera sana
Ni kweli baa zimekiwa kero sana mitaani.Kuna mtaa nipo hapa nimekuja kumtembelea ndugu yangu ni mgonjwa, sasa bana jirani hapa Kuna kanisa la WALOKOLE, mda mwingi wanapiga maombi ninaweza kusema ni ya kelele sana, zimekua kero kwa wagonjwa na wazee wanaohitaji utulivu.
Inakuaje mtu mnaweka maspika makubwa mnaelekezea kwenye madirisha na milango ya watu? Maombi ya kelele na kukoroma sana kwa sauti ya kukwangua ndio kumjua Mungu sana?
Mimi mkristo ila kiukweli hii tabia sio, hapa ndio hata waislamu wanapata cha kutupigia.
Hivi mnadhani au mnafikiri kila mtu ni mlokole anapenda hizo kelele za mchana na usiku kucha???
Ndani ya week majirani wa aina ya MAKANISA haya kupata siku ya kutulia kwa utulivu hazizidi siku 2.
Kama bar zinafungiwa kwa kuzidisha kelele za mziki kwenye makazi ya watu, vipi kwa hawa WALOKOLE?
Halafu MAKANISA haya mengi yanajengwa KATIKATI kabisa ya nyumba za watu, tofauti na MAKANISA mengi.
Siku akitokea kiongozi mwenye akili lazima atadili na hili.
Ubishi, ujuaji na kelele wako nazo sana walokoleTuliwahi kukaa jirani na mlokole mmoja tu mwanamke, wachilia mbali kanisa zima. Basi kipindi kile tunasoma sekondari, usiku lazima tupige msuli.
Tulikuwa tunasoma kwa amani mpaka alipokuja huyo mlokole, usiku ndiyo anaanza maombi na kunenea lugha za ajabu mara akemee. Anatukata pindi, mpaka tulimtolea uvivu mchana tukamchana live.
Yaani hao iwe kanisa au mtu mmoja ni shida tupu.
Mimi si mkristo ila nimelelewa na mkristo, Mungu amrehemu mama mlezi wangu. Nawakubali wakristo wengine wapo poa hata maombi yao ni kawaida.
Pia hawana ujuaji mwingi hata likija suala la kujadili mambo ya dini, mnawekeana hoja na kuelewana vizuri. Ila sasa kutana na mlokole sasa.
Hwa inabidi wakemeweKagame aliwapiga ban