comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
- #21
Imani Yao inakera wengine, KELELE NA KUUNGURUMA KWA SAUTI YA KUKOROMA NA MASPIKA MAKUBWA SIO KUMJUA MUNGUHama hapo, waache watu waabudu kwa imani zao
Imani Yao inakera wengine, KELELE NA KUUNGURUMA KWA SAUTI YA KUKOROMA NA MASPIKA MAKUBWA SIO KUMJUA MUNGUHama hapo, waache watu waabudu kwa imani zao
Yani waje wakute watu washajenga wajichomeke Kati Kati halafu watu wahame?Hama hapo, waache watu waabudu kwa imani zao
Na ni wahuni balaa Yale ni maigizo tuukwanza wanajitia wanamjua sana mungu kwenye sherehe zao hawataki wimbo wowote tofauti na kwaya mara kuangalia mipira thambi yaani ukiwa mlokole automatic una changamoto ya afya ya akili
Mungu Gani HASIKII haddi apigiwe YOWE?? wa roma,Lutheran, Wasabato maombi Yao Mungu hayasikii?Wenzenu wanamwita Mungu nyie mnasema Kero?
😅😅😅😅😅😅😅
Ndo wamefundishwa hivoMungu Gani HASIHIKI haddi apigiwe YOWE?? wa roma,Lutheran, Wasabato maombi Yao Mungu hayasikii?
Uchizi huoNdo wamefundishwa hivo
Wenyewe wanaona wako sawa.Uchizi huo
Kila mlokole unaemuona ni takataka. Hata kama ni mzazi wakoSio wote inategemea kiongozi wao ni mtu wa aina zingatia sio wote
INGEKUA wanajifungia wanajipigia kelele hazitoki nnje kusumbua wengine wangekua sawaWenyewe wanaona wako sawa.
Ni kweli kabisaKila mlokole unaemuona ni takataka. Hata kama ni mzazi wako
Huyo Mungu ana matatizo ya masikio?Wenzenu wanamwita Mungu nyie mnasema Kero?
😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂 Kwamba sir GOD ni kiziwiHuyo Mungu ana matatizo ya masikio?
Inasikitisha sana... huenda mapepo yamejaa mtaani yamechoka kuchomwa moto.Wenzenu wanamwita Mungu nyie mnasema Kero?
Kwamba mapepo yanaogopa kelele?Inasikitisha sana... huenda mapepo yamejaa mtaani yamechoka kuchomwa moto.
Ila mda mwingine inaleta usumbufu, kuna jirani alikuwa anaomba asubuh duh¡ sauti ya juu hatari.Kwamba mapepo yanaogopa kelele?
Sijui Mungu wao sasaHuyo Mungu ana matatizo ya masikio?
Bora huyo jiran, Kuna MAKANISA yapo katkat ya nyumba za watu, wamefunga maspika makubwa sana, ni kelele tuu, na wamekuja kujichomeka wamekuta mtaa tulivuIla mda mwingine inaleta usumbufu, kuna jirani alikuwa anaomba asubuh duh¡ sauti ya juu hatari.
Hatari sana... mkuu! ila nadhani wawafate wawaambie wapunguze, maana sio vizuri kudharau dini za watu¡Bora huyo jiran, Kuna MAKANISA yapo katkat ya nyumba za watu, wamefunga maspika makubwa sana, ni kelele tuu, na wamekuja kujichomeka wamekuta mtaa tulivu