Natty Bongoman
JF-Expert Member
- Oct 10, 2008
- 648
- 384
Ila makengele ya makanisa makuu na vipaza sauti vya misikiti havikusumbui... 


Ndiyo maana nyinyi hamuoi wanawake wa hukoUbishi, ujuaji na kelele wako nazo sana walokole
Hawa jamaa ni tatizo kubwa, maombi Yao yamekaa kimasifa sana na makeleleWanasoma Bible lakini wanaipuuza maana inakataza mambo hayo kwa lugha ya wazi kabisa.
Tena inashangaza, mtu anamuomba Mungu na yuko peke yake kajifungia ila anachukua mic na anawasha bonge la spika. Kwamba Mungu hawezi kusikia hadi sauti ipite kwenye amplifier ama!!
KabisaNa wanao toa vibali vya kujenga hayo makanisa kwenye makazi ya watu ndio tatizo!
Upo serious kweli? Msikiti Wana adhini kwa mda gan na marangap kwa siku?? Kengele za rc zinaweza kupigwa kuanzia asubuh kutwa na usiku kucha?? TOKEA MDA ULE NAANDIKA UZI MPAKA SASA NI MAKELE TUU, YALIANZA ASUBUHI YANAKESHAIla makengele ya makanisa makuu na vipaza sauti vya misikiti havikusumbui...![]()
Pole mkuu.Upo serious kweli? Msikiti Wana adhini kwa mda gan na marangap kwa siku?? Kengele za rc zinaweza kupigwa kuanzia asubuh kutwa na usiku kucha?? TOKEA MDA ULE NAANDIKA UZI MPAKA SASA NI MAKELE TUU, YALIANZA ASUBUHI YANAKESHA