Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,897
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.

Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.

Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.

Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.

Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT Sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga kanisani ni pale mchungaji anakuwa anahubiri Mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri Mweupee ana shepu pale pale unahama kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat. Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati
mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika. Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo.
Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Tatizo la KKKT Tanzania mmeiga mifumo ya ibada za kilokole, ambazo hazipo ki litrujia na zimejaa usanii
 
Kanisani wananiona jau sana, maana wakisema mgeukie mwenzako, au mwambie jirani yako hivi au vile mimi sigeuki waka kumbambia mtu chochote, na nikigeukiwa Mimi sitoi ushirikiano, hata hivyo ibada za kikatoliki ni nzuri sana, huu ujinga hamna isipo kua ile kupeana mkono wa amani ambayo ni sehemu ya liturigia.
 
Ipo hivi👇
Mchungaji: mgeukie jirani yako mwambie "Jirani jirani nakupenda😅
Mwambie Jirani yako Mimi Ni handsome/beautiful
Mwambie Jirani yako usinione hivi mimi ni chombo(girls) ndugu msomaji hapo somo eti linakua ni kujikubali😄
Mgeukie jirani yako mpe tabasamu!! Acha kununa
 
Yaani akasali sehemu Moja na Majin(a.k.a mashetani) wamwombe Mungu mmoja? Yaani hapo ndio unamdumbukiza shimoni kabisa
May Allah Almighty guide you!!! Majini ni viumbe kama wewe ulivyoumbwa!! Wapo wema na wapo WAOVU kama ilivyo kwa Wanadamu!!!!

Wewe timiza jukumu na wajibu wako KWA MOLA WAKO na VIUMBE WENGINE NAO WATATIMIZA WAJIBU WAO KWA MOLA WAO!!!

[6.130] O assembly of jinn and men! did there not come to you apostles from among you, relating to you My communications and warning you of the meeting of this day of yours? They shall say: We bear witness against ourselves; and this world's life deceived them, and they shall bear witness against their own souls that they were unbelievers.
 
Back
Top Bottom