Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

May Allah Almighty guide you!!! Majini ni viumbe kama wewe ulivyoumbwa!! Wapo wema na wapo WAOVU kama ilivyo kwa Wanadamu!!!!

Wewe timiza jukumu na wajibu wako KWA MOLA WAKO na VIUMBE WENGINE NAO WATATIMIZA WAJIBU WAO KWA MOLA WAO!!!
Endeleeni kuyaabudi, kuyafuga, kuyatumia katika tiba, ulinzi nk kwa kudanganywa na Aya za kitabu,kilichoibuka miaka 500 baada ya kitabu Cha kweli, tutskutana fainali siku ya hukumu Kila mmoja na njia yake. Shetani na machawa wake ( makini) watakuwa wameshakusanya watu wa kutosha wa kuteketea nao motoni kwani baada ya kukosa utii kwa Mungu mkuu wa mashetani bin ibilisi bin maruhan, bin lusifer, alimwomba Mungu asiangamizwe Bali aje duniani kutafuta wafuasi Sasa naona amewspata wa kutosha.
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT Sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga kanisani ni pale mchungaji anakuwa anahubiri Mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri Mweupee ana shepu pale pale unahama kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat. Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati
mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika. Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo.
Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Hivi ww ndio yule jamaa wa redioni anajiita pascal ndege wa kilimapofu au ni majina yamefanana
 
Endeleeni kuyaabudi, kuyafuga, kuyatumia katika tiba, ulinzi nk kwa kudanganywa na Aya za kitabu,kilichoibuka miaka 500 baada ya kitabu Cha kweli, tutskutana fainali siku ya hukumu Kila mmoja na njia yake. Shetani na machawa wake ( makini) watakuwa wameshakusanya watu wa kutosha wa kuteketea nao motoni kwani baada ya kukosa utii kwa Mungu mkuu wa mashetani bin ibilisi bin maruhan, bin lusifer, alimwomba Mungu asiangamizwe Bali aje duniani kutafuta wafuasi Sasa naona amewspata wa kutosha.
Hesabu yako inaishia hapa hapa duniani, na hakuna ushahidi wa kitu kinaitwa kiyama.
 
Endeleeni kuyaabudi, kuyafuga, kuyatumia katika tiba, ulinzi nk kwa kudanganywa na Aya za kitabu,kilichoibuka miaka 500 baada ya kitabu Cha kweli, tutskutana fainali siku ya hukumu Kila mmoja na njia yake. Shetani na machawa wake ( makini) watakuwa wameshakusanya watu wa kutosha wa kuteketea nao motoni kwani baada ya kukosa utii kwa Mungu mkuu wa mashetani bin ibilisi bin maruhan, bin lusifer, alimwomba Mungu asiangamizwe Bali aje duniani kutafuta wafuasi Sasa naona amewspata wa kutosha.
Fungua kichwa chako kifanye kazi;

Mungu Mlezi anasema wazi "Hakuwaumba wanadamu na majini ILA KWA LENGO MOJA TU LA KUMWABUDU NA KUMTUKUZA YEYE TU" sasa hili la WAISLAM kuabudu Majini unalitoa wapi???

Unastaajabisha huamini uwepo wa MAJINI kama viumbe ambao kuna wema na waovu LAKINI unaamini uwepo wa SHETANI NA MALAIKA WASIOONEKANA!!!!

Mungu kaumba viumbe wengi sana tunaowafahamu na tusiowafahamu!!!

Vyote vipo katika elimu yake.....

Achana na ngano na MASIMULIZI MUABUDU MOLA MOJA ASIYE NA MSHIRIKA KATIKA UUNGU WAKE....
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT Sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga kanisani ni pale mchungaji anakuwa anahubiri Mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri Mweupee ana shepu pale pale unahama kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat. Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati
mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika. Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo.
Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Yaani mnabadilishana namba mkiwa ibadani?

Tatizo la dini zetu, zinaongozwa kwa fikra za watu. Wenzetu waislamu wamejikita katika Koroani yao na ndio reference yao. Sisi mchungaji anaweza kuamka na kuja kanisani na kuamuru, MWENYE SHIDA YA UZAZI ALETE CHUPI YAKE NIIOMBEE.
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT Sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga kanisani ni pale mchungaji anakuwa anahubiri Mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri Mweupee ana shepu pale pale unahama kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat. Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati
mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika. Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo.
Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
hama huko, ila pia huenda una pepo la uzinzi

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Ipo hivi👇
Mchungaji: mgeukie jirani yako mwambie "Jirani jirani nakupenda😅
Mwambie Jirani yako Mimi Ni handsome/beautiful
Mwambie Jirani yako usinione hivi mimi ni chombo(girls) ndugu msomaji hapo somo eti linakua ni kujikubali😄
Mgeukie jirani yako mpe tabasamu!! Acha kununa
Wewe nimecheka sana
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT Sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga kanisani ni pale mchungaji anakuwa anahubiri Mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri Mweupee ana shepu pale pale unahama kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat. Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati
mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika. Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo.
Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Mkuu nakushauri wahi muhimbili kitengo cha akili ukapime na kupata ushauri

Utanishukuru baadaye
 
KKKT ibada yao inafanana kidogo na roman katolic sema kuna baadhi ya vipengele wanapishana, ila hii sehemu ya mgeukie jirani yako sioni ubaya wowote isipokuwa binadamu hisia na mawazo yake ameyapekeka kwenye uasherati ndio mana watu wanaombana no ila mchungaji nia yake sio mbaya
 
Nakubaliana na mleta mada... zamani makanisani kulikuwa na upande wa wanaume na upande wa wanawake. Sijui wameamua kuchanganya kwa lengo gani. Hili limeleta matatizo mengi hata kuhatarisha maisha ya familia. Makanisa yajitafakari kwenye mpangilio wa kukaa kati ya wanawake na wanaume
 
Back
Top Bottom