Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
UWONGO. Ibrahim alitoka Mesopotamia Iraq. Fuuck Allah(Watu wangu wataangamia kwa kukosa maarifa)
Mkuu maarifa ni muhim kitu hukijui kisome au uilize hilo sio jiwe
Alafu hio nyumba ilianza kujengwa na Ibrahim ambae nyie mnamuita Abraham
Sasa nyumba amabayo kajenga mtume ambae nyie pia mna mkubali leo hii unaiita jiwe? [emoji23][emoji23]
Fuuck Allah and MuhammadNaomba nikupe Elimu kuhusu jiwe jeusi kwa kifupi sana;
Alkaaba ilijengwa na Ibrahim na mwanae Ismail kwa maelekezo ya Mungu ili wanadamu wapate pa kuelekea wakati wanafanya Ibada. Jiwe alilotumia Ibrahim (kama ngazi) kusimama ili ajenge sehemu ya juu ya Alkaaba lipo hadi leo hapo pembeni ya alkaaba (kwa nje) na lina alama ya Unyayo wake (usiniulize aliwezaje kubonyeza jiwe kwa miguu yake)
Kuhusu jiwe jeusi; Baada ya Ibrahim kukamilisha ujenzi wa alkaaba, alisema aweke alama hata huko baadae kama alkaaba itajengwa upya watu wajue eneo halisi ilipo jengwa; Ili kuweka alama ndio akatafuta jiwe la tofauti na yaliyokuwepo eneo hilo akapata jiwe la tofauti akaliweka (ndilo watu huita jiwe jeusi)
Kwa maelezo hayo; hilo jiwe liliwekwa kama alama ya kuonesha alkaaba ilipojengwa na sio vinginevyo...
Kwa kifupi sana hayo ndio maelezo yake wala hakuna mtu anaye abudu jiwe jeusi; ni UPOTOSHAJI !!!
Usikubali kudanganywa na wasio na Elimu huko mtaani au wanaopotosha uislam kwa manufaa yao binafsi....
Toa DALILIMajin ni mapepo mabaya ni sehem ya Mashetan so kukaa nayo ni ushwetan wenyewe Sheikh.
Kwani ina tofauti gan na hizo hekaya zakoToa DALILI
Isije kuwa HEKAYA ZA KUAMBIWA nawe UNATUBEBEA NA UNATAKA KUTUAMINISHA
Majini ni viumbe na MUNGU amewaumba TOFAUTI NA SISI, wao wanaweza kusafiri UMBALI mrefu zaidi kwa muda mfupi [speed of light] na wanaishi muda mrefu kuliko sisi...
Kuna WEMA na kuna waovu kama WALIVYO WANADAMU!!!
Watahesabiwa na kuhukumiwa kwa matendo yao kama walivyo wanadamu!!!!
Leo ukiona au kusikia mchawi anaweza kusafiriki UMBALI mrefu kwenda kufanya uchawi wake au kuingia ndani ya nyumba ya mtu hata kama amefunga JUA NI KWA MSAADA WA MASHETANI WA KIJINI na hakuna anything SUPERNATURAL bali ni uwezo wa kawaida wa majini na HII NI KUTOKANA NA MKATABA ALIOUINGIA SHETANI WA KIBINADAMU [MCHAWI] na SHETANI WA KIJINI ambapo mwanadamu atamwabudia na kumtimizia matakwa take na Jini NAYE atamtimizia mwanadamu matakwa yake.....
Kwa sababu umekaririshwa huwezi kuelewa na utabaki tu kung'ang'ana MAJINI ni MASHETANI!!!!
HeheheKwani ina tofauti gan na hizo hekaya zako
Sikuwahi kujua kama wewe ni muislamu, allah atuongoze sote mama.Fungua kichwa chako kifanye kazi;
Mungu Mlezi anasema wazi "Hakuwaumba wanadamu na majini ILA KWA LENGO MOJA TU LA KUMWABUDU NA KUMTUKUZA YEYE TU" sasa hili la WAISLAM kuabudu Majini unalitoa wapi???
Unastaajabisha huamini uwepo wa MAJINI kama viumbe ambao kuna wema na waovu LAKINI unaamini uwepo wa SHETANI NA MALAIKA WASIOONEKANA!!!!
Mungu kaumba viumbe wengi sana tunaowafahamu na tusiowafahamu!!!
Vyote vipo katika elimu yake.....
Achana na ngano na MASIMULIZI MUABUDU MOLA MOJA ASIYE NA MSHIRIKA KATIKA UUNGU WAKE....
Na akisema "mwambie jirani yako ACHA UZINZI" itasaidia nini?Ingekuwa Jambo la maana Kama ungekuwa unaambatana na familia yako Kila siku ya ibada na mkae sehemu moja ili mchungaji akisema msalimie wa pembeni yako ukutane na mkeo.
Allahuma Aamin....Sikuwahi kujua kama wewe ni muislamu, allah atuongoze sote mama.
Hamna cha wema na wabaya ! yote ni mashetaniMay Allah Almighty guide you!!! Majini ni viumbe kama wewe ulivyoumbwa!! Wapo wema na wapo WAOVU kama ilivyo kwa Wanadamu!!!!
Wewe timiza jukumu na wajibu wako KWA MOLA WAKO na VIUMBE WENGINE NAO WATATIMIZA WAJIBU WAO KWA MOLA WAO!!!
[6.130] O assembly of jinn and men! did there not come to you apostles from among you, relating to you My communications and warning you of the meeting of this day of yours? They shall say: We bear witness against ourselves; and this world's life deceived them, and they shall bear witness against their own souls that they were unbelievers.
Sio uarabuni bali ni mashariki ya katiHakuna tofauti Kati ya ukristo na uislam Sema Ukristo umechakachuliwa na wazungu Uislam umechakachuliwa na waarabu. Cha ajabu dini zote Duniani zimeanzia uarabuni.
Huna hekima wala sio mtu wa kanisaniItafika tu mkiss jirani yako.
Surat Al badir yaani kweli kitabu tukufu kinatumika ku mpoteza mtu.Nitajie aya moja tu inayoelekeza madai yako haya.
1.kuita majini
2.kuyatengeneza
3.kuyafuga.
DUH!!Ili ukifa ukamuliwe mavi uingie peponi msafi?
huwa wanasema mgeukie jirani yako kulia na kushoto...Unapoingia kanisani hakikisha unakaa na mke wako karibu au mpenzi wako.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
الحمد لله على نعمة الإسلام و السنةPigo za kuitana majina jumuiya hadi mtu mzima anaitwa na kutikiwa zilikuwa zinanikera, mfano baba angu ni mkatoliki aendagi kanisani.....ipo wazi akifa atazikwa normal tu bila watu wa imani yake kumzika kiimani yake
Kiukweli inna Al hamdulillahi kuwa muislam, it wasn't easy, imagine hadi unaitwa jina duuh, aya wasabato wao mfano umehama eti uondoke na barua ya utambulisho ndio huko unakoenda wakupokee kama muumin wao, kwahiyo nikiwa nimehamishwa kikazi hadi jamii yote itangaziwe kanisani duuh
Though I was young ila nilikuwa naona haya mambo hayajakaa sawa(kwangu Mimi lakini eeh, wala si attack imani za watu jamani, naongelea kwa upande wangu)
Kwa wapentecoste ukiwa mgeni wakikubaini tu mgeni eti lazima ujitambulishe......
Now I've grown up na ni muislaam pia, napiga rakaa swala inaponikutia, sipo kwenye data base ya msikiti wowote, everything simplified, complication nizifanye Mimi tu, wala siitwi jina ni mwendo inna halala bayyinu wainna haram bayyinu na kila unachofanya basi jua unaifanyia nafsi yako na mwenyezi mungu si mwenye kuwadhulumu waja zake, in short toka nakuwa sikuwa napenda mambo ya kufuatiliana fuatiliana hadi kunipelekea kufanya mambo kwa riya na sio lillahi tena maana hadi waitwa jina daah hapana kwakweli.....Alhamdulillah