Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

(Watu wangu wataangamia kwa kukosa maarifa)
Mkuu maarifa ni muhim kitu hukijui kisome au uilize hilo sio jiwe
Alafu hio nyumba ilianza kujengwa na Ibrahim ambae nyie mnamuita Abraham
Sasa nyumba amabayo kajenga mtume ambae nyie pia mna mkubali leo hii unaiita jiwe? [emoji23][emoji23]
UWONGO. Ibrahim alitoka Mesopotamia Iraq. Fuuck Allah
 
Naomba nikupe Elimu kuhusu jiwe jeusi kwa kifupi sana;
Alkaaba ilijengwa na Ibrahim na mwanae Ismail kwa maelekezo ya Mungu ili wanadamu wapate pa kuelekea wakati wanafanya Ibada. Jiwe alilotumia Ibrahim (kama ngazi) kusimama ili ajenge sehemu ya juu ya Alkaaba lipo hadi leo hapo pembeni ya alkaaba (kwa nje) na lina alama ya Unyayo wake (usiniulize aliwezaje kubonyeza jiwe kwa miguu yake)
Kuhusu jiwe jeusi; Baada ya Ibrahim kukamilisha ujenzi wa alkaaba, alisema aweke alama hata huko baadae kama alkaaba itajengwa upya watu wajue eneo halisi ilipo jengwa; Ili kuweka alama ndio akatafuta jiwe la tofauti na yaliyokuwepo eneo hilo akapata jiwe la tofauti akaliweka (ndilo watu huita jiwe jeusi)
Kwa maelezo hayo; hilo jiwe liliwekwa kama alama ya kuonesha alkaaba ilipojengwa na sio vinginevyo...

Kwa kifupi sana hayo ndio maelezo yake wala hakuna mtu anaye abudu jiwe jeusi; ni UPOTOSHAJI !!!
Usikubali kudanganywa na wasio na Elimu huko mtaani au wanaopotosha uislam kwa manufaa yao binafsi....
Fuuck Allah and Muhammad
 
Majin ni mapepo mabaya ni sehem ya Mashetan so kukaa nayo ni ushwetan wenyewe Sheikh.
Toa DALILI

Isije kuwa HEKAYA ZA KUAMBIWA nawe UNATUBEBEA NA UNATAKA KUTUAMINISHA

Majini ni viumbe na MUNGU amewaumba TOFAUTI NA SISI, wao wanaweza kusafiri UMBALI mrefu zaidi kwa muda mfupi [speed of light] na wanaishi muda mrefu kuliko sisi...

Kuna WEMA na kuna waovu kama WALIVYO WANADAMU!!!

Watahesabiwa na kuhukumiwa kwa matendo yao kama walivyo wanadamu!!!!

Leo ukiona au kusikia mchawi anaweza kusafiriki UMBALI mrefu kwenda kufanya uchawi wake au kuingia ndani ya nyumba ya mtu hata kama amefunga JUA NI KWA MSAADA WA MASHETANI WA KIJINI na hakuna anything SUPERNATURAL bali ni uwezo wa kawaida wa majini na HII NI KUTOKANA NA MKATABA ALIOUINGIA SHETANI WA KIBINADAMU [MCHAWI] na SHETANI WA KIJINI ambapo mwanadamu atamwabudia na kumtimizia matakwa take na Jini NAYE atamtimizia mwanadamu matakwa yake.....

Kwa sababu umekaririshwa huwezi kuelewa na utabaki tu kung'ang'ana MAJINI ni MASHETANI!!!!
 
Toa DALILI

Isije kuwa HEKAYA ZA KUAMBIWA nawe UNATUBEBEA NA UNATAKA KUTUAMINISHA

Majini ni viumbe na MUNGU amewaumba TOFAUTI NA SISI, wao wanaweza kusafiri UMBALI mrefu zaidi kwa muda mfupi [speed of light] na wanaishi muda mrefu kuliko sisi...

Kuna WEMA na kuna waovu kama WALIVYO WANADAMU!!!

Watahesabiwa na kuhukumiwa kwa matendo yao kama walivyo wanadamu!!!!

Leo ukiona au kusikia mchawi anaweza kusafiriki UMBALI mrefu kwenda kufanya uchawi wake au kuingia ndani ya nyumba ya mtu hata kama amefunga JUA NI KWA MSAADA WA MASHETANI WA KIJINI na hakuna anything SUPERNATURAL bali ni uwezo wa kawaida wa majini na HII NI KUTOKANA NA MKATABA ALIOUINGIA SHETANI WA KIBINADAMU [MCHAWI] na SHETANI WA KIJINI ambapo mwanadamu atamwabudia na kumtimizia matakwa take na Jini NAYE atamtimizia mwanadamu matakwa yake.....

Kwa sababu umekaririshwa huwezi kuelewa na utabaki tu kung'ang'ana MAJINI ni MASHETANI!!!!
Kwani ina tofauti gan na hizo hekaya zako
 
Fungua kichwa chako kifanye kazi;

Mungu Mlezi anasema wazi "Hakuwaumba wanadamu na majini ILA KWA LENGO MOJA TU LA KUMWABUDU NA KUMTUKUZA YEYE TU" sasa hili la WAISLAM kuabudu Majini unalitoa wapi???

Unastaajabisha huamini uwepo wa MAJINI kama viumbe ambao kuna wema na waovu LAKINI unaamini uwepo wa SHETANI NA MALAIKA WASIOONEKANA!!!!

Mungu kaumba viumbe wengi sana tunaowafahamu na tusiowafahamu!!!

Vyote vipo katika elimu yake.....

Achana na ngano na MASIMULIZI MUABUDU MOLA MOJA ASIYE NA MSHIRIKA KATIKA UUNGU WAKE....
Sikuwahi kujua kama wewe ni muislamu, allah atuongoze sote mama.
 
Binafsi Lutheran limekuwa ni Kanisa la hovyoo sana hadi huwa najisikia vibaya kuwa Mlutheri. Hakuna utaratibu unaoeleweka ila kumekuwa na UHOLELA MWINGI SANA NA UJUAJI. WAMELETA TABIA ZA MAKANISA YA KILOKOLE NA KULIHARIBU KANISA.

Halafu nilijua hili Kanisa ni moja ya makanisa makubwa duniani kumbe ni kadogo sana tena sana ukilinganisha na makanisa mengine duniani. Kimsingi hili kanisa ni maarufu tu kwa hapa Tanzania. Huko duniani limeachwa mbali sana n Katoliki, Sabato, Anglican na mengine mengi tu. Cha ajabu hata huko ujerumani lilipoasisia halipo kwenye list ya makanisa makubwa. Kiufupi Lutheran inajulikana Tanzania zaidi.

All in all, pasipo kujali ukubwa au udogo wa Lutheran, ni vema likarejea kwenye ustaarabu wa kuendesha ibada katika utaratibu uliokuwepo miaka ya 70 na 80 ambapo mchungaji alikuwa anaonyesha unyenyekevu madhabahuni tofauti na sasa unakuta mchungaji anarukaruka mwanzo mwisho na UJUAJI MWIIINGI.

Wachungaji wa zamani wa Lutheran walikuwa wanahubiri habari njema za ufalme wa Mbinguni, wakiwahubiri watu kuacha dhambi na kuishi maisha ya kumpendeza Mungu. Wachungaji wa leo wao wanachokifanya wamekuwa MOTIVATION SPEAKERS wa masuala ya maisha ya ndoa/kupata mchumba, kupata kazi, cheo, utajiri, magonjwa . Kubwa zaidi kipaumbele cha Lutheran ni MATOLEO/ MICHANGO
 
Lutheran ya injili ya kweli na mfumo thabiti ilikuwa ile ya miaka ya 70,80 na 90 kulipokuwa na wachangiaji wa kweli. Sasa hivi kanisa haliendeshwi kitaasisi bali ni one man show, yaani ni rahisi leo Lutheran mtu akajitengenezea umaarufu akawa mkubwa kuliko kanisa, na hata mkitaka kumtoa mnasita sababu ya umaarufu wake kwenye kanisa hilo. Mfano Mchungaji Eliaona Kimaro na Mchungaji Matsai wa Kimara Korogwe. Hao hakuna anayeweza kuwagusa kwasasa maana ni wakubwa sana kuliko Taasisi yenyewe. Kwa mifano hii ni dhahiri Lutheran sio TAASISI IMARA YA DINI
 
Ingekuwa Jambo la maana Kama ungekuwa unaambatana na familia yako Kila siku ya ibada na mkae sehemu moja ili mchungaji akisema msalimie wa pembeni yako ukutane na mkeo.
Na akisema "mwambie jirani yako ACHA UZINZI" itasaidia nini?
 
Na akisema "mgeukie jirani yako mwambie ACHA UZINZI" hata ukiwa na familia itasaidia nini?
 
May Allah Almighty guide you!!! Majini ni viumbe kama wewe ulivyoumbwa!! Wapo wema na wapo WAOVU kama ilivyo kwa Wanadamu!!!!

Wewe timiza jukumu na wajibu wako KWA MOLA WAKO na VIUMBE WENGINE NAO WATATIMIZA WAJIBU WAO KWA MOLA WAO!!!

[6.130] O assembly of jinn and men! did there not come to you apostles from among you, relating to you My communications and warning you of the meeting of this day of yours? They shall say: We bear witness against ourselves; and this world's life deceived them, and they shall bear witness against their own souls that they were unbelievers.
Hamna cha wema na wabaya ! yote ni mashetani
 
Pigo za kuitana majina jumuiya hadi mtu mzima anaitwa na kutikiwa zilikuwa zinanikera, mfano baba angu ni mkatoliki aendagi kanisani.....ipo wazi akifa atazikwa normal tu bila watu wa imani yake kumzika kiimani yake

Kiukweli inna Al hamdulillahi kuwa muislam, it wasn't easy, imagine hadi unaitwa jina duuh, aya wasabato wao mfano umehama eti uondoke na barua ya utambulisho ndio huko unakoenda wakupokee kama muumin wao, kwahiyo nikiwa nimehamishwa kikazi hadi jamii yote itangaziwe kanisani duuh

Though I was young ila nilikuwa naona haya mambo hayajakaa sawa(kwangu Mimi lakini eeh, wala si attack imani za watu jamani, naongelea kwa upande wangu)

Kwa wapentecoste ukiwa mgeni wakikubaini tu mgeni eti lazima ujitambulishe......

Now I've grown up na ni muislaam pia, napiga rakaa swala inaponikutia, sipo kwenye data base ya msikiti wowote, everything simplified, complication nizifanye Mimi tu, wala siitwi jina ni mwendo inna halala bayyinu wainna haram bayyinu na kila unachofanya basi jua unaifanyia nafsi yako na mwenyezi mungu si mwenye kuwadhulumu waja zake, in short toka nakuwa sikuwa napenda mambo ya kufuatiliana fuatiliana hadi kunipelekea kufanya mambo kwa riya na sio lillahi tena maana hadi waitwa jina daah hapana kwakweli.....Alhamdulillah
الحمد لله على نعمة الإسلام و السنة
 
Back
Top Bottom