Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Hawa viumbe ni kwa ajili yetu kaka chakata tu
 

ulikua na maswahibu gani chief? [emoji1][emoji1]
 
Hamna cha wema na wabaya ! yote ni mashetani
Akili ya MTU NI KAMA PARACHUTI!!! Ukilivaa kama begi bila kulifungua kamwe haliwezi kukusaidia na matokeo yake utaanguka kama GUNIA!!!

Vivyo hivyo ULIAMUA KUNG'ANG'ANIA jambo bila tafakuri hata inapokudhihirikia elimu basi AKILI YAKO NA ELIMU HAVIWEZI KUKUSAIDIA!!!

Amini kama ulivyochagua kuamini bila USHAHIDI
 
Mnabishana vitu javipo
 
ww ndio mm
 
Yaani akasali sehemu Moja na Majin(a.k.a mashetani) wamwombe Mungu mmoja? Yaani hapo ndio unamdumbukiza shimoni kabisa
Huko kanisani kama hakuna shetani huko kutamani mwanamke ukiwa ndani ya ibada kunatoka wapi?
 
Kwetu majini ni mapepo , jini hawezi kuwa mzuri na kama mnaswali nao pamoja basi wote mko pamoja.
 
Hiyo ya kuitana majina sijawahi kuiona mahali popote.
 
Watu wengi wanakuwa waislamu kwasababu ya ndoa. Ila Kuna waislamu wanakuwa wakristo kwasababu wamependa ukristo. Ni rahisi mtu asiye kuwa na dini kuwa dini yoyote
Fafanua kwenye kuwa waislamu kwa sababu ya ndoa please.
 
Jenga tabia ya kwenda kanisani na familia ,pili wewe mchungaji amesema mgeukie jirani yako ukachukua namba "hapo wazee tunasema mwana umelinywa"
 
Ndiyo maana hata kipindi cha Yesu wanaume na wanawake walikuwa hawachangamani.

Mwanamke ameolewa, mumewe yupo masomoni Cuba mwaka wa tatu na hamna mawasiliano, mnashikana mikono kwa maagizo ya mtumishi-ananza kupata hisia maana kwa miaka 3 hajawahi kupata tulizo la moyo, hapo unategemea nini kama si uzinzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…