Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Alhamdulillah kama utahitaji msaada wowote au muongozo karibu wakati wote, inshaallah.Allahuma Aamin....
Allah ameninusuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alhamdulillah kama utahitaji msaada wowote au muongozo karibu wakati wote, inshaallah.Allahuma Aamin....
Allah ameninusuru
Hawa viumbe ni kwa ajili yetu kaka chakata tuMimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.
Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.
Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.
Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Kabisa.....mie ilitokea....[emoji55][emoji55]ati mwangalie jirani yako kama amenuna......sijui nini nini......[emoji51][emoji51][emoji51]aisee...kidogo nimtie mtu makofi....bakhti yake...aliomba samahani....na hakunigeukia tena[emoji19][emoji19][emoji19]
Stress tuulikua na maswahibu gani chief? [emoji1][emoji1]
Destroyerالحمد على نعمة الإسلام و السنة
Niambie mkuu.Destroyer
Hiyo lugha majangaNiambie mkuu.
Akili ya MTU NI KAMA PARACHUTI!!! Ukilivaa kama begi bila kulifungua kamwe haliwezi kukusaidia na matokeo yake utaanguka kama GUNIA!!!Hamna cha wema na wabaya ! yote ni mashetani
Mnabishana vitu javipoAkili ya MTU NI KAMA PARACHUTI!!! Ukilivaa kama begi bila kulifungua kamwe haliwezi kukusaidia na matokeo yake utaanguka kama GUNIA!!!
Vivyo hivyo ULIAMUA KUNG'ANG'ANIA jambo bila tafakuri hata inapokudhihirikia elimu basi AKILI YAKO NA ELIMU HAVIWEZI KUKUSAIDIA!!!
Amini kama ulivyochagua kuamini bila USHAHIDI
Nimesema, sifa njema za ukamilifu ni za allah kwa kutufanya waislamu na wenye kumfuata mtume muhammad swala na salaam ziwe juu yake.Hiyo lugha majanga
ww ndio mmKanisani wananiona jau sana, maana wakisema mgeukie mwenzako, au mwambie jirani yako hivi au vile mimi sigeuki waka kumbambia mtu chochote, na nikigeukiwa Mimi sitoi ushirikiano, hata hivyo ibada za kikatoliki ni nzuri sana, huu ujinga hamna isipo kua ile kupeana mkono wa amani ambayo ni sehemu ya liturigia.
Huko kanisani kama hakuna shetani huko kutamani mwanamke ukiwa ndani ya ibada kunatoka wapi?Yaani akasali sehemu Moja na Majin(a.k.a mashetani) wamwombe Mungu mmoja? Yaani hapo ndio unamdumbukiza shimoni kabisa
Kwetu majini ni mapepo , jini hawezi kuwa mzuri na kama mnaswali nao pamoja basi wote mko pamoja.Akili ya MTU NI KAMA PARACHUTI!!! Ukilivaa kama begi bila kulifungua kamwe haliwezi kukusaidia na matokeo yake utaanguka kama GUNIA!!!
Vivyo hivyo ULIAMUA KUNG'ANG'ANIA jambo bila tafakuri hata inapokudhihirikia elimu basi AKILI YAKO NA ELIMU HAVIWEZI KUKUSAIDIA!!!
Amini kama ulivyochagua kuamini bila USHAHIDI
Hiyo ya kuitana majina sijawahi kuiona mahali popote.Pigo za kuitana majina jumuiya hadi mtu mzima anaitwa na kutikiwa zilikuwa zinanikera, mfano baba angu ni mkatoliki aendagi kanisani.....ipo wazi akifa atazikwa normal tu bila watu wa imani yake kumzika kiimani yake
Kiukweli inna Al hamdulillahi kuwa muislam, it wasn't easy, imagine hadi unaitwa jina duuh, aya wasabato wao mfano umehama eti uondoke na barua ya utambulisho ndio huko unakoenda wakupokee kama muumin wao, kwahiyo nikiwa nimehamishwa kikazi hadi jamii yote itangaziwe kanisani duuh
Though I was young ila nilikuwa naona haya mambo hayajakaa sawa(kwangu Mimi lakini eeh, wala si attack imani za watu jamani, naongelea kwa upande wangu)
Kwa wapentecoste ukiwa mgeni wakikubaini tu mgeni eti lazima ujitambulishe......
Now I've grown up na ni muislaam pia, napiga rakaa swala inaponikutia, sipo kwenye data base ya msikiti wowote, everything simplified, complication nizifanye Mimi tu, wala siitwi jina ni mwendo inna halala bayyinu wainna haram bayyinu na kila unachofanya basi jua unaifanyia nafsi yako na mwenyezi mungu si mwenye kuwadhulumu waja zake, in short toka nakuwa sikuwa napenda mambo ya kufuatiliana fuatiliana hadi kunipelekea kufanya mambo kwa riya na sio lillahi tena maana hadi waitwa jina daah hapana kwakweli.....Alhamdulillah
Fafanua kwenye kuwa waislamu kwa sababu ya ndoa please.Watu wengi wanakuwa waislamu kwasababu ya ndoa. Ila Kuna waislamu wanakuwa wakristo kwasababu wamependa ukristo. Ni rahisi mtu asiye kuwa na dini kuwa dini yoyote
Huko sasa si ndio kuna ushetani kamili ndio maana hata mungu mwenyewe kaamua awatandike matetemeko na mafuriko.Silimu uwe muislam before it's too late
Jenga tabia ya kwenda kanisani na familia ,pili wewe mchungaji amesema mgeukie jirani yako ukachukua namba "hapo wazee tunasema mwana umelinywa"Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.
Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.
Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.
Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Ndiyo maana hata kipindi cha Yesu wanaume na wanawake walikuwa hawachangamani.Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.