Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.

Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.

Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.

Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.

Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Malipo ya SADAKA yanaitika! Wewe badala ya kukubali WITO unaukana! Waumini LAZIMA wapendane!
Sijuwi ukoje?!😠😤😡
 
Nahitaji kupita chuo cha usanii kwanza usanii siwezi ninaweza kuamka nimevulugwa nikarudisha sadaka yote
 
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.

Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.

Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.

Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.

Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?

Ingekuwa Jambo la maana Kama ungekuwa unaambatana na familia yako Kila siku ya ibada na mkae sehemu moja ili mchungaji akisema msalimie wa pembeni yako ukutane na mkeo.
Na wasio na familia waambatane na nani?
 
Nimetoka kupenga bonge la kamasi na kujipangusia mkono yakabaki mkononi nakuja kukushika mkono
 
Back
Top Bottom