Usijibu majibu ya wenzio,akili Yako wewe inaongeleaje kuhusu ukweli?achana na mambo ya Yesu "Mimi ni njia KWELI ma uzima"wewe ulivyoniambia Ile ndio Kweli nataka kujua hiyo Kweli unamaanisha Nini wewe binafsi.wewe si ni mwanazuoni
Rejea mazungumzo Yako ya awali,umesema biblia ni uongo,ukweli ndio ule uliniambia hizo ni myth,ndio maana namuuliza ukweli ni Nini?kwani akili yako inaongelea vipi kuhusu ukweli ??
Mimi nimekuwekea biblia na quran au wewe unaamini kitabu kipi ??
Rejea mazungumzo Yako ya awali,umesema biblia ni uongo,ukweli ndio ule uliniambia hizo ni myth,ndio maana namuuliza ukweli ni Nini?
☆Wavae mavazi mazuri ya heshima. (Wajisitiri)Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.
Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo interested mnahama wote Kanisani mnabadilishana number mnaanza kuchat.
Nimeliongea hapa kama Kuna ufumbuzi basi ufanyike wadada wakae siti zao.
Chupu niingie kwenye mahusiano ya mke wa mtu. Maana huyu mwanamke kanisave mchungaji wananipigia hadi usiku akiwa na mumewe mke wangu anapokea. Mke wangu hanielewi anadhani nimetembea naye. But sijatembea naye nilichokifanya siendi tena kanisani maana chat zetu zimefikia hatua ya mahusiano wakati mimi na mke wangu tuna majukumu mengi sana ya familia nikiingiza mahusiano mapya na mwanamke yule mrembo na mwenye pesa lazima mke wangu mpenzi na familia itasambaratika.
Kama Kuna mamlaka yoyote ikae ijadili hili jambo. Kwanini mchungaji asihubiri tu bila hii kitu au kama anataka attention basi atusimamishe tukae au Tupige magoti?
Wakristo hawaishi kwa Torati , wanaishi kwa neema.☆Wavae mavazi mazuri ya heshima. (Wajisitiri)
☆ mukiw katika ibada tenganeni, w.ke nyuma na w.ume mbele. Kama kuna uwezekano bas mukae vyumba tofauti kabisa.
Lkn hamuwezi fanya hivo hata siku moja.
Bas hakun solution pambaneni na hli zenu
How?Tatizo la KKKT Tanzania mmeiga mifumo ya ibada za kilokole, ambazo hazipo ki litrujia na zimejaa usanii
Roho mtakatifu huwa anawaongoza kufanya zinaa au vipi maana huwa mnatuambia wakristo mnaongozwa na roho mtakatifu ??Wakristo hawaishi kwa Toati , wanaishi kwa neema.
unaweza ukajitenga, ukavaa magunia lakini bado ukawa mzinzi.
Uzinzi ni roho na siyo mavazi.
Wanaolazimishana kuvaa mavazi ya kufunika mwili ndio hao wananza kulana wakiwa na miaka 9 wakati hao wanao onekana wanava uchi wananza mapenzi wakiwa 20's na ndoa .
fuatilia hata wasanii wa Bongo akina zuchu wanajifuni mavitu gani lakini ni kimada na jukwaani anakaa uchi.
Kiranga I think you are somehow right!Watu wanaenda kanisani bado mpaka leo?
Basi wanajitakia wenyewe yote haya.
Roho mtakatifu huwa anawaongoza kufanya zinaa au vipi maana huwa mnatuambia wakristo mnaongozwa na roho mtakatifu ??
FafanuaDhambi kuu na ya mauti ni kumkufuru Roho Mtakatifu.
Mungu mmoja yupo na nafsi tatu, Baba , Mwana [Yesu] na Roho Mtakatifu.
Kuna habari thabiti kwamba miongoni mwenu kuna uasherati unaotendeka; tena ni uasherati wa aina ambayo hata watu wasiomjua Mungu hawafanyi. Nimesikia kwamba kuna mtu anazini na mama yake wa kambo! 2 Mnawezaje basi kujivuna! Badala yake mngepaswa kuom boleza. Huyo aliyefanya tendo hili afukuzwe na kutengwa nanyi. 3 Japokuwa sipo nanyi katika mwili, lakini nipo nanyi katika roho. Na nimekwisha toa hukumu kuhusu huyo mtu aliyetenda jambo hili, kama vile ningekuwapo. 4 Mnapokutana katika jina la Bwana wetu Yesu nami nikiwepo katika roho, na nguvu ya Bwana wetu Yesu ikiwepo, 5 mtoeni mtu huyu kwa shetani, ili asili yake ya dhambi iangamizwe lakini roho yake iokolewe siku ile ya Bwana.
Dhambi kuu na ya mauti ni kumkufuru Roho Mtakatifu.

Unataka kunifanyia interoggation mimi Jaji?Tumekusikia sasa jibu swali
Roho mtakatifu huwa anawaongoza kufanya zinaa au vipi maana huwa mnatuambia wakristo mnaongozwa na roho mtakatifu ??
Unataka kunifanyia interoggation mimi Jaji?
Unataka kunifanyia leading questions mimi?
Kitu gani unataka kujua ili nikufunze?
wewe kama imani yako ni ya kuwa bikra 70 akhera hata nikikwambia habari ya Roho Mtakatatifu haitokusaidia maana Neno la Mungu linasema Tusikae barazani kwa wenye mizaa!
Wewe mungu wako [kama ni mungu] amekuelekeza mbinguni kuna jinsia, na kwamba ukifika huko utapewa mabikra 70, kwamba mbinguni ni sehemu ya sex?
Umeelekezwa mbinguni kuna jinsia, na kama kuna jinsia hiyo sex ukishafanya na hao ma bikra nao watazaa ama hakutakuwa na uzazi?
Kama hao ma bikra 70 watazaa, nini kitafuata kwa hao watoto, nao wakitenda dhambi hao watoto watatolewa awaende kwa shetani?
mungu huyo wa sharia ndiye anaelekeza "kuua watu wake" huku ukitaja jina lake [kama hilo jina analoitwa ni lake kweli]?
Mungu akusamehe sanaTatizo la KKKT Tanzania mmeiga mifumo ya ibada za kilokole, ambazo hazipo ki litrujia na zimejaa usanii
YeahHuenda ulitabasamu kizembe au ulikuwa una mawazo yako