Riadha jr
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 567
- 331
Unaweza ukavaa suruali bwaga kama gunia la mashineni lakini kama moyoni hakuna Mungu ni buree.
Ifact kuvaa milegezo na kusuka kweli inaweza ikatia mashaka ila kuvalia kama hapo kwenye picha sijaona sana ubaya
" Chakula ni kwa tumbo na tumbo ni kwa chakula lakini roho ni kwa Bwana"
mhhh pole sana -endelea kutulisha tango pori kulingana na hisia zako