Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue hadi sasa sijaona hayo maadili ya kipentekoste ktk bibilia, naomba msaada jamaniHabari ya mda Huu..
Asilimia kubwa ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu, na uwepo huu wa Mungu umeleta Imani tofauti tofauti za ambazo binadamu huziishi. Na Imani hizi zinaheshimiwa, wapo wenzetu waroma, wakatholiki, wapentekoste, kila imani inataratibu zake na miiko yake inayoheshimiwa na kila muumini wa dini hiyo.
Kwa upande wa wapentekoste, sote twajua namna miiko yao ilivyo hasa katika mavazi, tumeona kwa waroma tumeona kwa waanglikana, zaidi sana hata kwa wenzetu waislamu.Uwepo wa dini hizi umekuwa msaada sana kwa jamii hasa kuibadilisha jamii na hasa vijana kuwa na miiko na heshima.
Lakini siku za hivi karibuni, kumekuwepo na wimbi la vijana wanaokimbilia ulokole lakini matendo yao hayaendani na miiko ya kilokole, bika kupepesa pepesa kumekuwa na celebrity huyu anayefahamika kama "Massanja mkandamizaji" ama "Emmanuel Mgaya" huyu amekuwa akijiita PASTOR.
Kumekuwa na malalamiko mengi hasa toka wa vijana wakilokole wakilalamika mienendo ya celebrity huyu na mavazi yake yasiyoendana na miiko ya kilokole, ki ukweki kuna wakati ukimwona ni kama kijana mwingine tu wa mitaani, kuvaa mlegezo, kusuka nywele, kofia kuvalia nyuma, hivi haviendani na miiko ya kikristo.
Kwenye jamii inaonyesha picha kuwa Anajifichia kwenye mwamvuli wa kipentekoste ili hali si mpentekoste...sasa unamdanganya nani massanja? hata moyo wako ukushuhudie kuwa UNACHOKIFANYA HAKIENDANI NA MAADILI YA KIPENTEKOSTE, KUMBUKA WEWE NI KIOO NA NI MAARUFU, HIVYO EITHER UBADILI NAMNA UNAVYOVAA AU UACHE KUTUMIA ULOKOLE KAMA KIVULI CHA MAOVU!
Unaharibu Taratibu za kipentekoste!
Ujumbe huu ukufikie mahali pote ulipo![]()
HahahahaILA TANZANIA BADO MAZUZU MENGI KWAHIYO WALOKOLE HUWA WANAAMINI MASANJA NI MCHUNGAJI WAO!!! DUH WAJINGA NDIO WALIWAO!
View attachment 646749
Hahahah hao wanabidi waende LIBYA wakawe watumwa kama wwnzaoHahahaha
Huyo jamaa analima mpunga mbarali, na analima kibiashara sio kwa mazoeaila masanja utajiri wake una ukakasi mwingi ngoja siku watamtolea uvivu
jamaa kaongea point ila kuna watu wanachukulia poa mavazi ni sehemu ya kuonesha heshima na uaminifu.
Huyo jamaa analima mpunga mbarali, na analima kibiashara sio kwa mazoea
wivu tena, au nawe ni mmoja wao?Acheni kutumika vibaya Mtumishi wa Mungu Masanja mbali ya uchungaji kazi yake nyingine ni msanii wa Commedy kwa hiyo msichanganye mambo. Sidhani hayo mavazi mnayoyalalamikia kama ni kweli lkn huwa anayavaa kanisani, mi ninachokiona wengi wenu hapa mnawivu na mafanikio yake, kwa sababu watu wa kwanza kulalamika kama kweli anakosea wangekuwa viongozi wake wa dini, wala sio nyie. kwa hiyo kwa ushauri wangu acheni majungu kama kweli nyie mmeokoka.
Nakusalimu[emoji112] [emoji4]Hujui siku hizi ni mwamvuli wa kupiga pesa!!
Habari ya mda Huu..
Asilimia kubwa ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu, na uwepo huu wa Mungu umeleta Imani tofauti tofauti za ambazo binadamu huziishi. Na Imani hizi zinaheshimiwa, wapo wenzetu waroma, wakatholiki, wapentekoste, kila imani inataratibu zake na miiko yake inayoheshimiwa na kila muumini wa dini hiyo.
Kwa upande wa wapentekoste, sote twajua namna miiko yao ilivyo hasa katika mavazi, tumeona kwa waroma tumeona kwa waanglikana, zaidi sana hata kwa wenzetu waislamu.Uwepo wa dini hizi umekuwa msaada sana kwa jamii hasa kuibadilisha jamii na hasa vijana kuwa na miiko na heshima.
Lakini siku za hivi karibuni, kumekuwepo na wimbi la vijana wanaokimbilia ulokole lakini matendo yao hayaendani na miiko ya kilokole, bika kupepesa pepesa kumekuwa na celebrity huyu anayefahamika kama "Massanja mkandamizaji" ama "Emmanuel Mgaya" huyu amekuwa akijiita PASTOR.
Kumekuwa na malalamiko mengi hasa toka wa vijana wakilokole wakilalamika mienendo ya celebrity huyu na mavazi yake yasiyoendana na miiko ya kilokole, ki ukweki kuna wakati ukimwona ni kama kijana mwingine tu wa mitaani, kuvaa mlegezo, kusuka nywele, kofia kuvalia nyuma, hivi haviendani na miiko ya kikristo.
Kwenye jamii inaonyesha picha kuwa Anajifichia kwenye mwamvuli wa kipentekoste ili hali si mpentekoste...sasa unamdanganya nani massanja? hata moyo wako ukushuhudie kuwa UNACHOKIFANYA HAKIENDANI NA MAADILI YA KIPENTEKOSTE, KUMBUKA WEWE NI KIOO NA NI MAARUFU, HIVYO EITHER UBADILI NAMNA UNAVYOVAA AU UACHE KUTUMIA ULOKOLE KAMA KIVULI CHA MAOVU!
Unaharibu Taratibu za kipentekoste!
Ujumbe huu ukufikie mahali pote ulipo![]()
ila masanja utajiri wake una ukakasi mwingi ngoja siku watamtolea uvivu
Yaani hujaelewa kweli kilichoandikwa au unajitia kichwa ngumu? Ukiambiwa wazinzi hawataingia mbinguni maana yake ni kwamba asiye mzinzi ni mbinguni direct?Unaweza ukavaa suruali bwaga kama gunia la mashineni lakini kama moyoni hakuna Mungu ni buree.
Ifact kuvaa milegezo na kusuka kweli inaweza ikatia mashaka ila kuvalia kama hapo kwenye picha sijaona sana ubaya
" Chakula ni kwa tumbo na tumbo ni kwa chakula lakini roho ni kwa Bwana"