Unaweza ukavaa suruali bwaga kama gunia la mashineni lakini kama moyoni hakuna Mungu ni buree.
Ifact kuvaa milegezo na kusuka kweli inaweza ikatia mashaka ila kuvalia kama hapo kwenye picha sijaona sana ubaya
" Chakula ni kwa tumbo na tumbo ni kwa chakula lakini roho ni kwa Bwana"
Haya mchungaji....tupe maji ya uzimaHAYA NDIO MAKANISA YA KWELI KUMBE!
View attachment 646596 View attachment 646597 View attachment 646597
Bado ila tunatarajia mwakani 2018 atakamilisha ujenzi wake.Hivi Masanja amefungua kanisa lake? Je yeye hataki sadaka kama kina Lwakatare, Gwajima na mzee wa upako?
MPAKA RAHA! HILI KANISA LIKJA BONGO MIMI WA KWANZAHaya mchungaji....tupe maji ya uzima
Yesu wetu ni wa rohoni Na si mwilini.siasa si dhambi kuongelewa kanisani, lakini mavazi yasiyofaa ni mabaya zaidi!
Kuliko cha ulokole ni kipi?Tapeli mssanja wala ana ulokole wowote
kanisa mango garden hahahaaaaMPAKA RAHA! HILI KANISA LIKJA BONGO MIMI WA KWANZA
View attachment 646609 View attachment 646611 View attachment 646611 View attachment 646611
KAMA NI KWA MATENDO NDIO MTAIONA MBINGU MJIHESABU KUWA MPO KWENYE HIGHWAY YA MOTONIImeandikwa "MTAWATAMBUA KWA MATENDO YAO".
Zaidi sana pambana na hali yako, Maisha ya Masanja hayatakupeleka mbinguni!
After all We are living in fake life.
TUMBO LAKE SIKU HIZI LITAKUWA LIMEPANUKA KWANI HILO SEMBE KUMEZA KILA WIKI NI ISSUEKuliko cha ulokole ni kipi?
Je Masanja kamtapeli Nani? Je huyo aliyetapeliwa malalamiko yake kayawasilisha wapi?
Hili ni kanisa?MPAKA RAHA! HILI KANISA LIKJA BONGO MIMI WA KWANZA
View attachment 646609 View attachment 646611 View attachment 646611 View attachment 646611