Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo unamsifika kwa kutumia jina la Mungu kupata pesa?
Kwenda na wakati wapi kuzimu?Milokole mishamba siipendi kama nini, kwa hiyo ukiokoka ndo umeambiwa uvae magunia, kama huwezi kwenda na wakati pita hivi [emoji118]
siasa si dhambi kuongelewa kanisani, lakini mavazi yasiyofaa ni mabaya zaidi!
Hata kama hampeleki mbinguni lakin kama mhubiri anatangazia watu njia ya mbinguni halafu yeye haoneshi kama ni muendaji hapo imani hakuna, na akafanye kazi zingine na c kudharaulisha ukiristoPeleka wivu wako huko,kwaniasanja ndiye atakupeleka mbinguni??