Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna watu wanajichanganya sana,masanja ni msanii,si mtu wa mungu na hajawahi kuwa hivyo ila ANAPENDA KWENDA KANISANI km mtu wa mungu,hajamwibia mtu na jitihada zake zmemfikisha hapo.Imeandikwa "MTAWATAMBUA KWA MATENDO YAO".
Zaidi sana pambana na hali yako, Maisha ya Masanja hayatakupeleka mbinguni!
After all We are living in fake life.
Mbona biashara yake kuuuubwa huisemi? ! Ndio hizo mnazodanganywa nazo!Jamani hivi mnjua biashara ngapi anafanya mashanja? Vijana fanyani kazi. Masanja ana mashamba ya mpunga kivao huko vijijini, ana kampuni ya ulinzi hapo Dar na vimgahawa hapo Dar plus na sadaka[emoji16] na alinza biashara kitambo
KUMBE HATA HUKU UPO AISEEEE WEWE KIBOKOMaadili ya Kipentekoste yenyewe yanapingana na maadili ya Kipentekoste.
Mwacheni Masanja apige hela, angalau yeye hajachukua sadaka ya mtu kwa fix.
![]()
![]()
![]()
Pastor himself Dah...kwa kweli upentekoste wa kipindi hiki ni tofauti kabisa na upentekoste wa kipindi hichooo cha akina askofu kulola na lazaro....KANISA LIPO KIBIASHARA TU, WACHUNGAJI HAWAKEMEI MAMBO HAYA...WAMEBASE KWENYE KUJAZA WAUMINI TU NA KUNUNUA VYOMBO NA KUFANYA MIUJIZA.
LAKINI SIYO KUHUBIRI KWELI(UTAKATIFU)
Hahaha, hatareee.KU
KUMBE HATA HUKU UPO AISEEEE WEWE KIBOKO
Umeongea kweli na hakika,MTU anabaki kuacha kuabudu eti kisa Fulani kamkwaza,kumbe hajui kuwa anajichelewesha safari ya mbinguni,big up,ujumbe huu ni hakika na ndivyo ilivyo..barikiwa sana kwa kumtetea Yesu na kuitetea injiliKiuhalisia Ukitaka Kumchambua Kila Mtu Kibiblia Tunaweza Pata Watu Wachache Sana Ila Me Nasema Mtu Asiwe 7bu Ya Wewe Kuto Kwenda Mbinguni Ukiona Anafanya Zuri Na Kwa Mujibu Wa Biblia Nawe Fanya Na Akifanya Kinyume Na Biblia Muombee Au Muache , Cku Hzi Manabii Weng Sana Hatujui Ni Wa Kweli Au C Kweli Cha Muhimu Fanya Kitu Kwa Mujibu Wa Biblia
Je wale wanaofungisha ndoa mashoga na huku waumin wakilalamika sio viongiz wa dini ? au hao viongoz unaona wako sahihi ?Acheni kutumika vibaya Mtumishi wa Mungu Masanja mbali ya uchungaji kazi yake nyingine ni msanii wa Commedy kwa hiyo msichanganye mambo. Sidhani hayo mavazi mnayoyalalamikia kama ni kweli lkn huwa anayavaa kanisani, mi ninachokiona wengi wenu hapa mnawivu na mafanikio yake, kwa sababu watu wa kwanza kulalamika kama kweli anakosea wangekuwa viongozi wake wa dini, wala sio nyie. kwa hiyo kwa ushauri wangu acheni majungu kama kweli nyie mmeokoka.
Blesed TooUmeongea kweli na hakika,MTU anabaki kuacha kuabudu eti kisa Fulani kamkwaza,kumbe hajui kuwa anajichelewesha safari ya mbinguni,big up,ujumbe huu ni hakika na ndivyo ilivyo..barikiwa sana kwa kumtetea Yesu na kuitetea injili
Acha utanisiasa si dhambi kuongelewa kanisani, lakini mavazi yasiyofaa ni mabaya zaidi!