The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA.
MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126
Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo tatu. Chakusha ngaza walileta nguzo Mbili baada ya kufwatilia sana, na wakazitelekeza hapo na waya , Kisha wakatokomea tangu Mwezi October. Hadi naamua kukuandikia Waziri, na Tanesco Mkoa na Chanika, ni kwamba , nilifika TANESCO Chanika, wakanifukuza walinzi na wakasema sistahili kuingia ofisini kwani hakuna Huduma.
Hadi leo sijapata umeme, na hawataki kuniletea Mita.
Nyumba yangu ipo Chanika kwa Masantula Mtaa wa Yongwe...
Risiti inaonyesha malipo halali Niliyoilipa TANESCO nikisubiria Huduma.
Je, ni kweli TANESCO wameamua kuniibia pesa za Nguzo moja, na Kukimbia bila kunipa Huduma?
Naomba Watanzania, mnisambazie hii Risiti hadi Imfikie Waziri na wahusika wanajulikana kwani ni watumishi waliofanya uhuni huu.