Kero na karaha ya maisha ya kibachela

Nasema hivyo kwa sababu mara nyingi mabachela tunatingwa na mambo mengi so huwezi kubalance mambo ya kufua.kuosha vyombo.kudeki.kufagia unajikuta unafunikia
 
Mmh haya endelea vivyo hivyo huo ndio ubachela wa kweli, unaonekana hata boksa unaweza ukaiweka kwenye sufuria [emoji23][emoji23][emoji23]
Boksa huwez kuweka kweny sufuria ila utasahau tu uliiweka wap kweny beg au ulitundika sehem

Sent using Gun Trigger
 
Kupika Buena dah issue

l love you mamy .
 
Write your reply...Write your reply...SITANDIKI KITANDA SJUI MARA NIKINYOOSHE HIYO HAKUNA NASAWAZISHA TU


KUDEKI NI MARA MOJA KWA MWEZI NAFAGIA TU


SOMETIMES SINAWI MIGUU NALALA NA MIGUU MICHAFU KUOGA SOMETIMES NAPIGA PASI NDEFU


UVUNGUNI MWA KITANDA KUKO HOVYO HAKUNA KUPANGA VIATU NIKIMALIZA KUTUMIA HICHI MI NARUSHA TU


PC AU SIMU IKINIWEKA BIZE MCHANA NANUNUA MAANDAZI YA BAKRESA NA AZAM MALTA JIONI KWA MAMA NTILIE


SUFURIA YA UGALI NAILOWEKA NJE SIKU MBILI



SINA SHUKA JEUPE NI JEKUNDU NA JEUSI MABAHARIA HAPA WANAELEWa MAANA WENGINE TUNALITUMIA MWEZI NDO TUNAFUA PAZIA DIRISHANI LINAWEZA KAA MIEZI MITATU

NANUNUA NYANYA NA HOHO NAKUA NA MOTO WA KUPIKA BAADAE NAHAHIRISHA NALA KWA MAMA NTILIE UNAWEZA KUTA SIZITUMII WIKI MPAKA PANYA WANAZILA AU NYINGINE ZINAOZA


NGUO NARUSHA SIJAWAHI PANGA NYENGINE ZINANING'INIZWA KWENYE MSUMARI YA MLANGO ZIKITOA HARUFU NINAYO PAFYUMU


NITAENDELEA.......
 
Umejitahidi nipe siri ya mafanikio siku nne bila punyeto
Mkuu wewe unapiga kila siku??? Mm wastan wangu Ni 1/30 days. Yaani Mara 1 kwa mwezi

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
 
Dah kuhusu kufua shuk nisiwe mwongo

mwezi mmoja nalalia upande wa ukutane, mwezi wa 2 nahamia upande mwingine

minimum ya kufua shuka ni miezi 2.5
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
This is what we call ghetto πŸ˜‚
 
Nyeto ni hatari yaani pale Unaposema naacha kumbe ndipo unafanya ziwe nyingi so, ukirudi unarudi na Kasi ya kimbunga
 
Dah,coments zenu wadau zimenipa moyo maana nilikuwa najua yananikumba mimi tu nikawa najistukia,kumbe bora tupo wengi tu tunaofanana tabia kwenye magheto yetu
 
Kupika sishindwi labda nikitaka kula nyama iyo siku ndo nitakula hotel..
usafi nafanya ila nikikosa muda ukija geto utakimbia
vyombo vinaoshwa soon baada ya kula

Kufua ndo mvivu ila nguo zangu zinavopangiliwa huwezi gundua ni chafu

Nisipotandika kitanda asubuhi najiskia sipo normal siku nzima
mengine karibu geto kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…