kibla matata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2020
- 412
- 380
Nasema hivyo kwa sababu mara nyingi mabachela tunatingwa na mambo mengi so huwezi kubalance mambo ya kufua.kuosha vyombo.kudeki.kufagia unajikuta unafunikiaKutokufua nguo kumetokana na malezi maisha bora house girl anakufanyia kila kitu.
Hapo kwa tuliolelewa kinunda huwezi kukuta geto chafu,eti nguo chafu, eti hujui kupika.
Kwangu akija demu kunipikia au kunifulia ni mwiko atapata kilimleta anasepa.
Sent using Jamii Forums mobile app