Kero: Ndugu, marafiki na jamaa wanaanza kukutafuta baada ya kutoboa, ni kwanini hawapo direct kuomba pesa wakati uhusiano wenu ni wa maslahi pekee?

Kero: Ndugu, marafiki na jamaa wanaanza kukutafuta baada ya kutoboa, ni kwanini hawapo direct kuomba pesa wakati uhusiano wenu ni wa maslahi pekee?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Mawasiliano yawe direct hakuna haja ya kona kona, tamka maneno mawili, "NAOMBA FEDHA" ikiwepo utapewa kama hakuna tuangalie utaratibu mwengine

atasalimia kukujulia hali, kujua upo wapi, family inaendeleaje, n.k. lakini mwisho wa siku lengo lake ni moja tu, FEDHA !!

Hajakutafuta miaka na miaka mara ya mwisho mlionana msibani ama kupishana njiani, ghafla mambo yamenyooka ndio anaanza kukumbuka, jibu limenyooka kabisa pigia mstari, yupo kwajili ya maslahi wala si kingine.

Dedication:

Yo, I see through the fake love, you actin' close,
Hit me with the "how you been?" but I know how it goes,
Ain't about the care, it's the cash that you chose,
Talkin' about "you good?" but it’s money you hope.
You ain’t checkin' for me when I was on the grind,
Now I'm stackin' up, you appearin' every time,
Don’t need all the sweet talk, just get to the point,
You want the red note? Then don’t pretend to anoint
 
Unaweza unamsaidia huwezi unamwambia kwa lugha nzuri kabisa kuwa huwezi kwa wakati huo
Kumbuka ukiinuka unakuwa kama taa utaonekana na Kila mtu na Kila mwenye uhitaji atahitaji umuangaze
Mulika unapoweza!
 
Unaweza unamsaidia huwezi unamwambia kwa lugha nzuri kabisa kuwa huwezi kwa wakati huo
Kumbuka ukiinuka unakuwa kama taa utaonekana na Kila mtu na Kila mwenye uhitaji atahitaji umuangaze
Mulika unapoweza!
Hakuna namna, ndiyo maisha elekezi kwetu waafrika
 
Mimi sijawahi kuwalipiza wala kuwajibu kwa ubaya, nikiwa nachu hua nawapa na kama sina nawajibu kwa adabu.
Maana najua kwenye maisha kuna kupanda na kushuka, pia kupata na kukosa.
 
Makosa ni yenu wote wawili;

Huyo ndugu hawasiliani na wewe mara kwa mara, ndo maana anaona aibu kukuomba msaada.

Wewe unakuwa mkali sana wakati unaweza kumjulisha kistaarabu tu kwamba umepungukiwa, kisha umgusie suala la mawasiliano.

Ndugu unatakiwa ukae nao kwa akili kwasababu upo nao maisha yako yote.
 
tumia diplo_MASIAH mkuu, ndugu lawama tu. Pale unapoanza kupata MAFANIKIO shetani nae anakuletea ndugu uchwara.
 
Back
Top Bottom