ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Kilio chetu kwa mkuu mkoa DSM sisi wananchi mkoa DSM kuna tabia sasa imerudi ilikuwepo zamani ikaondolewa wakati fulani sasa imerudi tena kwa kasi.
Kuna kampuni zimesajiliwa sijui na TARURA kukamata magari barabarani pale unaposimama na kupaki mahali au gari ikiwa imeharibika njiani.
Kwanza ni watu wameokotwa wapi sijui wamekaa na uchu wa pesa tu bila kujua hata Sheria wapo kusaka pesha tu ni vitisho kuna bomu mnatengeza. Kwanini mnapenda kuwapa shida wananchi wachukuie Serikali kwa mambo ambayo hayana umuhimu wowote?
Wale jamaa ni wala rushwa wakubwa aisee sijui hata Serikali inapata nini kwa hizo hela wanazochukua barabarani ni kichaka tu cha wizi.
Serikali izitoe zile kampuni ni wizi tu unaendelea