nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Wadau lengo la Uzi huu sio kubrag wala kuwaumiza watu ambao bado wanapambana kimaisha ila bado hawajatoboa. Mimi ni mjasiriamali, na naweza kusema kwamba nimefanikiwa kwa kiasi fulani kwani Turnover yangu kwa siku si chini ya million 10 hizi ni baadhi ya kero nazokutana nazo kila siku
1. Agemate wako wanakuchukia bila sababu, unaweza kwenda Mall umepaki V8 yako unaona kabisa watu wanakuangalia kwa jicho la husdaa wengine hufika mbali na kuongea kabisaa shit.
2. Kuonekana unaringa, unaweza kuwa na haraka zako au mawazo ukampita mtu bila kumsalimia, atatangaza mtaa mzima kwamba wewe unaringa.
3. Ndugu unaowasaidia ndo adui zako namba moja, wanakuharibia kazi, ukiwafukuza wanaenda kukuchafua una roho mbaya.
4. Watu wanajitenga na wewe, unaweza kuamua kuingia grocery ya mtaani upige story na Masela lakini utaanza kuona kila mmoja anajikataa.
Hivyo ni baadhi ya vitu vinavyonikera sana na najua vinatokea kwa vile najiweza, wadau mliofanikiwa mnaweza kuongeza mambo yanayowakera kutokana na mafanikio yako.
Najua kwenye Uzi huu Kuna wale masikini watakuja kunishambulia, nawashauri mpige kazi kwa bidii na sala.
#Dont hate create