nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
- Thread starter
- #21
Wadau samahanini sana kwa typing error, Turnover yangu ni 10m na sio 100m.
Sawa, maana.....Wadau samahanini sana kwa typing error, Turnover yangu ni 10m na sio 100m.
Turnover/sales ya 100mil mkuu? Au nimeelewa vibaya? Kuna watu wana turnover ya 500mil per day, wapo hapa hapa mujini.Turn over ya 100m!? hata viwanda vya vinywaji baridi havipati ktk season kama hii (Kiangazi/kipupwe)
Sijui mwenzetu una biashara gani!
Anyway vitu vingi ulivyolist huwa vinatokea hata kwa mtu anayeweza kuingiza 200k per day. Cha msingi ni vile unavyohandle situation
Inawezekana mkuu hasa kwa wenye viwanda vikubwa vya uzalishaji bidhaa kama kina Bakhresa and the likes, huduma za simu n.k lakini si kwa mjasiriamali mwenye fremu Kariakoo au Mwenge. Sales turn over ya 100m per day ni kubwa mkuu.Turnover/sales ya 100mil mkuu? Au nimeelewa vibaya? Kuna watu wana turnover ya 500mil per day, wapo hapa hapa mujini.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 tisha sana mkuu 🙌Mkuuu tupo wengii....
Mimi wananiroga hasa hasa humuu😝😝😝😝..
Nikila zangu mahindi ya kuchoma na uji siku nzima wanapakazia nimefulia, kumbe ni hamu tuu...
Chapa kazi mkuu.