Kero tunazokutana nazo kisa tumefanikiwa kimaisha

Turnover/sales ya 100mil mkuu? Au nimeelewa vibaya? Kuna watu wana turnover ya 500mil per day, wapo hapa hapa mujini.
 
Wabongo wengi tuna stress....bas tu ndo hivyo!
 
Turnover/sales ya 100mil mkuu? Au nimeelewa vibaya? Kuna watu wana turnover ya 500mil per day, wapo hapa hapa mujini.
Inawezekana mkuu hasa kwa wenye viwanda vikubwa vya uzalishaji bidhaa kama kina Bakhresa and the likes, huduma za simu n.k lakini si kwa mjasiriamali mwenye fremu Kariakoo au Mwenge. Sales turn over ya 100m per day ni kubwa mkuu.
 
Mkuuu tupo wengii....
Mimi wananiroga hasa hasa humuu😝😝😝😝..

Nikila zangu mahindi ya kuchoma na uji siku nzima wanapakazia nimefulia, kumbe ni hamu tuu...

Chapa kazi mkuu.
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 tisha sana mkuu πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…