KERO: Umeme wa kununua kwa zamu na nyumba za kupanga ni janga

KERO: Umeme wa kununua kwa zamu na nyumba za kupanga ni janga

Tatizo siyo wapangaji ama nini. Nyie hamumjui adui wa walalahoi ni Tz kuwa ni Tanesco yenyewe!

Ukitaka kumuwekea 'mita' kila mpangaji (separation meter), utakadiriwa gharama ya kuvuta umeme upya ya Tsh 320,000/= kwa kila mita, bila kuelewa kwamba mita ndiyo chanzo chao cha mapato cha shirika, hata wangelitoa kwa gharama ya chini ama bure gharama zao za uunganishaji zingerudi tu!

Sasa kama una wapangaji let say wanne, mwenye nyumba muziki huo utauweza?

Ki ukweli ilitakiwa kila mpangaji angelikuwa na mita yake, wala huo ujima wa kishenzi usingelikuwepo, maana kamwe binadamu hamuwezi kulingana matumizi ya kitu chochote, kuna watu hapo lazima wanyonywe.

Hiyo ni kero ya miaka nenda rudi katika jamii ya watu wa kipato cha chini, lakini shirika la umeme ama viongozi walishashindwa kuliona hilo kama ni kero kubwa sana ya msingi kwa jamii, wapo tu kupiga siasa na kufikiria upigaji.
Mimi nafikiri tatizo ni kubwa zaidi ya usemacho, kwa mfano ili ufungiwe kila mpangaji na mita yake, ni lazima ukiri kwamba nyumba ni ya biashara na sio ya kifamilia. Na watu wengi wanakwepa jambo hill kwakuwa watatakiwa kulipa kodi tra.
 
Practicality yake ipoje. Ni meter mfano wa hizi LUKU ama ni device nyingine kabisa.
Je ni legal (kisheria), je gharama zake.

Nasikia hizi submeter ni kwa akili ya kutazama matumizi yako tu, lakin huwezi kuzitumia kujaza umeme wako pekee lazima ukajaze kwenye LUKU meter ya nyumba nzima.

Sasa inasaidia nini hapo
Inasaidia Sana endapo umeweka umeme wa buku kumi, matumizi ni wewe tu, japo unaweka kupitia luku ya nyumba nzima ila inasaidia kujua Kama umeme wa kwako umeisha ama laa.ubaya wake ni kuwa ikitokea mtu mwingine umeme wake ukaisha Basi nyumba nzima inakuwa Giza. Halafu unaweza ukawa wa kwako umeisha ila ukawa unatumia wa jilani yaani hizo hazidanganyi.
 
Hii safi kabisa,ntanunua kwa ajili ya wife wangu,, huyu ndiye amekuwa jini mnyonya umeme hapa nyumbani,nina wapangaji sita,wanne ni mabaharia na wawili ni family ndogo ndogo za toto moja moja,wapangaji hawana shida na mtu,wanalipa hela za maji na umeme kwa wakati na kwa usahihi kabisa,tatizo ni mke wangu,hazimi taa usiku wala mchana,vyumba vyote,hazimi tv,music system,sana sana atapunguza sauti tu,jiko la plate la kizamani amelileta sijui kaliokota wapi,anapikia kuanzia makande mpaka magimbi,anakausha nguo na blower(heat blower) maji ya kuoga anachemsha kwa jug(kettle?) Yaani kama vile ana uvomvi na watu hapa,nikimuambia anavuta mdomo wiki!! Sijui nimuuze? Ila hapana aisee,nampenda sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muuze tu huyo
 
Tatizo siyo wapangaji ama nini. Nyie hamumjui adui wa walalahoi ni Tz kuwa ni Tanesco yenyewe!

Ukitaka kumuwekea 'mita' kila mpangaji (separation meter), utakadiriwa gharama ya kuvuta umeme upya ya Tsh 320,000/= kwa kila mita, bila kuelewa kwamba mita ndiyo chanzo chao cha mapato cha shirika, hata wangelitoa kwa gharama ya chini ama bure gharama zao za uunganishaji zingerudi tu!

Sasa kama una wapangaji let say wanne, mwenye nyumba muziki huo utauweza?

Ki ukweli ilitakiwa kila mpangaji angelikuwa na mita yake, wala huo ujima wa kishenzi usingelikuwepo, maana kamwe binadamu hamuwezi kulingana matumizi ya kitu chochote, kuna watu hapo lazima wanyonywe.

Hiyo ni kero ya miaka nenda rudi katika jamii ya watu wa kipato cha chini, lakini shirika la umeme ama viongozi walishashindwa kuliona hilo kama ni kero kubwa sana ya msingi kwa jamii, wapo tu kupiga siasa na kufikiria upigaji.
Wapangaji wanne maana yake kila mtu alipiwe service line ya 321,000. Kwa watu wanne ni 1,284,000
Lakini kwa Dunia ya sasa, mpangishaji lazima aingie gharama hizo kuondoa usumbufu kwa wapangaji.
 
Wapangaji wanne maana yake kila mtu alipiwe service line ya 321,000. Kwa watu wanne ni 1,284,000
Lakini kwa Dunia ya sasa, mpangishaji lazima aingie gharama hizo kuondoa usumbufu kwa wapangaji.
Kabisa kaka..na ndio maana kwa mtu anayewekeza kwenye nyumba za kupangisha lazima ajitahidi kwenye umeme angalau kila mpangaji awe na luku yake ili kuepusha kelele kwa wapangaji.
 
Wakubwa salama!

Nitoe pole sana kwa changamoto hizi.

Kuna ufumbuzi wa hili tatizo.

Kuna submeter ambazo zinafungwa kwa kila chumba cha mtumiaji ambavyo

itamwezesha mtumiaji kuweza kununua luku yake mwenyewe kwa njia ya simu, hasa tigo pesa. Atapata tokeni za umeme na kuziweka kwenye hiyo submeter.

Kama mtumiaji atashindwa kuweka umeme basi atalala giza mwenyewe na siyo nyumba nzima. Na maji pia vivyo hivyo

View attachment 1283347

Submeter ya umeme

View attachment 1283348

Submeter ya maji.

Kwa maelezo zaidi tembelea www.edcom.co.tz

Shukrani
Una idea ya bei zake? Link nimeiona hapo lakini muda hautoshi.
 
Wakubwa salama!

Nitoe pole sana kwa changamoto hizi.

Kuna ufumbuzi wa hili tatizo.

Kuna submeter ambazo zinafungwa kwa kila chumba cha mtumiaji ambavyo

itamwezesha mtumiaji kuweza kununua luku yake mwenyewe kwa njia ya simu, hasa tigo pesa. Atapata tokeni za umeme na kuziweka kwenye hiyo submeter.

Kama mtumiaji atashindwa kuweka umeme basi atalala giza mwenyewe na siyo nyumba nzima. Na maji pia vivyo hivyo

View attachment 1283347

Submeter ya umeme

View attachment 1283348

Submeter ya maji.

Kwa maelezo zaidi tembelea www.edcom.co.tz

Shukrani
Samahani mkuu, zinauzwa sh ngapi hizo submeter? Na je siku nikihama nyumba naruhusiwa kuhama nacho hiko kifaa?
 
Samahani mkuu, zinauzwa sh ngapi hizo submeter? Na je siku nikihama nyumba naruhusiwa kuhama nacho hiko kifaa?
Kuna mdau alisema kama 20k hivi..
 
Wakuu, nimepita sehemu hii jioni kuna ugomvi mkubwa kisa ni zamu za umeme, kiukweli hizi luku ni nzuri kama wapangaji wako wachache na wanaelewana vinginevyo ni majanga.

Hivi haiwezekani kila mpangaji akawa na mita yake kama vile switch?

Mabachela inakula kwao zaidi wanaotoka asubuhi kurudi usiku hasa wale wasio na vifaa vingi vya umeme lakini kwenye malipo wanalipa sawa, ukute anawasha taa tu ghetto akirudi.

Vipi una ushuhuda wowote kwenye hili?
Mimi huwa natoka asubuhi na kurudi usiku lakini bili nalipa sawa nili lala mika kwa mama mwenyenyumba akadai sija nyimwa kutumia umeme, nilicho fanya ni kuwasha friji nakuiacha ikifanya kazi hata kama hamna kitu ndani ya friji.
 
Wengi hufanya hivi...ila Tanesco walipaswa waone fursa kwenye hili..sio haki kwa kweli..
 
Unamaanisha LUKU meter.
Yaani mimi mpangaji nimehamia kwenye nyumba ninunue LUKU meter kutoka TANESCO. Nikihama nahama nayo.
Ndio ile ina jina lako. Ukiondoka unaondoka nayo unaifunga pengine tena
 
Submeter si ufumbuzi kamili. Bado kutakuwa na umeme unaowahusu wapangaji au wakazi wote. Shared toilets/bathrooms, security lights nani atalipia kama kila mtu ana submeter?
Unalipia ulichotumia wewe tu kukiwa na mfumo huo mambo ya shared hayatakiwi,kama taa za nje usiku unazima kama mtu anashida na mwanga afunge taa yake.
 
Hivi hapa mie nilinunua elfu 35 siku nikihama nahama nacho

IMG_20191012_165636.jpeg
 
Back
Top Bottom