kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,417
Punguza kuishi kiselaMimi nilichokaga nikawa nanunua meme wangu wa buku napasi nguo zangu za kazini tu.
Isitoshe nilikua nakesha Bar pale ghetto nilikua nakaa less than 3 to 4 hrs only
Submeter ikoje mkuu ?Weka submeter jipunguzie majanga
Tatizo huyu jamaa nae katoa hii kitu alafu ukiingia hata huko kwenye link hamna kitu
Huu ni mtafaruku mwingine mkuuUmeme ukiisha haununui ww watanunua wenzio mpaka ww kwako ufike 20 mm sioni kama ni usumbufu kwa sababu kamma ulikua unalipa pesa wa wote elfu20 kwa mwezi ile submeter itakusaidia kujua matumizi yako kama ulikua unanyonywa au ww hnawanyonya wenzio
Ahahahaha ww jamaa unaonekana mtata sana hasa hizi issue za kuchangishana umemeUnalipia ulichotumia wewe tu kukiwa na mfumo huo mambo ya shared hayatakiwi,kama taa za nje usiku unazima kama mtu anashida na mwanga afunge taa yake.
Dooh 5000 mwez, sisi tuko wapangaji watano kwa mwez tunatumia umeme wa laki 2, yaan ni janga aiseeNatumia luku yangu mwenyewe!!
Mimi sio wa kukaa ndani, friji, tv, redio sijawasha miez 3 sasa.
Umeme wa 5000 unaweza nipeleka miezi 2.
Ngima ipo kwenye maji, 20k kila mwezi
Haaaha 50k siku 5?! Mnakiwanda auHapa changamoto inakuja; umeweka umeme wa 50k halafu baada ya siku 5 umeisha na majirani hawana mpango wa kunnua. Matokeo yake wote mnalala giza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifaa kinachoungwa kwa ajili ya kusoma matimizi yako ya umeme tu na si wengineSubmeter ikoje mkuu ?
nikajua ni kifaa ambacho naweza kukitumia kuingiza umeme wangu tuKifaa kinachoungwa kwa ajili ya kusoma matimizi yako ya umeme tu na si wengine
Hakuna mtu ana mashine ya kupasulia mbao hapo...Acha tu ni balaa, kuna nyumba uku umeme wa wa 5000 unatumika siku moja...ata sielew wanatumiaje tumiaje...kazi juu ya shida kwa kweli.
Ni mtafaruku kama mkishindwa kuelewana...mm nnapopanga baba mwenye nyumba katufungia kila mtu cha kwake..then kalipia umeme wa mwezi mzma wa kama laki moja na ushee hvi..so anachofanya mwisho wa mwez anakuja mwenyewe kusoma unit na unalipa ulichotumia..so huduma ni post paid..sio pre paid...UGOMV WOOOTE KWISHA
Bado shida ipo palepaleni mtafaruku kama mkishindwa kuelewana...mm nnapopanga baba mwenye nyumba katufungia kila mtu cha kwake..then kalipia umeme wa mwezi mzma wa kama laki moja na ushee hvi..so anachofanya mwisho wa mwez anakuja mwenyewe kusoma unit na unalipa ulichotumia..so huduma ni post paid..sio pre paid...UGOMV WOOOTE KWISHA
Huu ndio ustaarabu unao takiwa.Wenye nyumba wanaojielewa siku hizi wanaweka luku ya peke yao kila mpangaji(Unit moja Chumba sebule jiko)
Je kuna mrejesho wowote kuhusu matumizi ya umemeYaani kama vile ana uvomvi na watu hapa,nikimuambia anavuta mdomo wiki!! Sijui nimuuze? Ila hapana aisee,nampenda sana!
tatizo ni mke wangu,hazimi taa usiku wala mchana,vyumba vyote,hazimi tv,music system,sana sana atapunguza sauti tu,jiko la plate la kizamani amelileta sijui kaliokota wapi,anapikia kuanzia makande mpaka magimbi,anakausha nguo na blower(heat blower) maji ya kuoga anachemsha kwa jug(kettle?)
Separate meterSiku hizi kuna tecnolojia kila mpangaji anafungiwa kipima umeme chake sijui vinaitwaaje yaani unalipa kulingana na matumizi yako bei yake havizidi 20 ,000 kugombana kwa ajili ya umeme ilikuwa zamani
Mkuu ulisema kijumla mno!Sio kweli kila aliyepanga hana nyumba