Basi tu ndo mambo ya wambea wasipocheka siku haijaenda!Labda pengine..ila huku kimara nyumba Ina geti ..nikiingia nafunga geti...sio rahisi kusikia MIVUMO...ila shida yao sijuwi nini hasa wakishaona wanapata faida gani...vicheko vya nguvu nyuma yangu nikimsindikiza kituoni...kuna kipindi nikawa natumia mlango wa uwani...pia wakahamia upande wa uani
Mke wangu nilikumicBasi tu ndo mambo ya wambea wasipocheka siku haijaenda!
Wengine wanania ya kukuchezea ila mimi nataka mke. Seriously.Asante ila Sitaki uchokozi!
Nakupenda myNenda love connect wamejaa
Nicheki pm basis mtoto mzuriAsante
Hahahaahhahahaahahahahaha hio hatareeeeeeeeeNyumba moja wapangaji wanawake wanakaa kwenye mkeka,sasa bafu na choo vipo mbele ya nyumba,sasa wanakaa hapo alafu wanaangalia wanaume wakitoka bafuni ni nani mwenye dushe kubwa na nani ana kibamia,maana wanaume mda huo anakuwa kafua chupi na msolopa unaenda -Singida-dodoma -Arusha -Moshi.
HahahaView attachment 471996
Huu ni moja ya mifano michache ambayo huwakuta jirani zangu....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duuh.Mimi buana jirani yangu kajua nafanyankazi TBL basi naona analazimisha urafiki salaam nying wakati mwazo hakuwa ivyo