Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
- Thread starter
- #581
Basi tu ndo mambo ya wambea wasipocheka siku haijaenda!Labda pengine..ila huku kimara nyumba Ina geti ..nikiingia nafunga geti...sio rahisi kusikia MIVUMO...ila shida yao sijuwi nini hasa wakishaona wanapata faida gani...vicheko vya nguvu nyuma yangu nikimsindikiza kituoni...kuna kipindi nikawa natumia mlango wa uwani...pia wakahamia upande wa uani