Kero vituko na vioja vya majirani

Kero vituko na vioja vya majirani

Labda pengine..ila huku kimara nyumba Ina geti ..nikiingia nafunga geti...sio rahisi kusikia MIVUMO...ila shida yao sijuwi nini hasa wakishaona wanapata faida gani...vicheko vya nguvu nyuma yangu nikimsindikiza kituoni...kuna kipindi nikawa natumia mlango wa uwani...pia wakahamia upande wa uani
Basi tu ndo mambo ya wambea wasipocheka siku haijaenda!
 
Nyumba moja wapangaji wanawake wanakaa kwenye mkeka,sasa bafu na choo vipo mbele ya nyumba,sasa wanakaa hapo alafu wanaangalia wanaume wakitoka bafuni ni nani mwenye dushe kubwa na nani ana kibamia,maana wanaume mda huo anakuwa kafua chupi na msolopa unaenda -Singida-dodoma -Arusha -Moshi.
 
Hahahaahhahahaahahahahaha hio hatareeeeeeeee
 
Back
Top Bottom