Kero vituko na vioja vya majirani

sema mi majilani zangu sijaona kero zao maana nikitoka saa 11 asubuhi kurudi saa tano usiku...afu ukizingatia ni bachelor hadi rahaaa
 
Sasa hiko kisa mpaka waleo yani hanipendiiiiiii ananizushia miskendo anachezea ndivo sivo yani
Hahaha...alikuwa na ukame wa hatari na pia ni domo zege. Alishindwa hata kukukalisha kitako mkayajenga [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…