Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Huwa nmpet pet Monday Tuesday tuMI NIKAJUA UTANIPET PET..
UNAPROVE YOU'RE MASCULINITY [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nmpet pet Monday Tuesday tuMI NIKAJUA UTANIPET PET..
UNAPROVE YOU'RE MASCULINITY [emoji23][emoji23]
Sasa ila jipange maana huku porini hatuna urafiki na mtuYani siku nikihama nitafurahi sana
Kwahyo TBL ndo chaka la kutishia watu siyo..Mimi buana jirani yangu kajua nafanyankazi TBL basi naona analazimisha urafiki salaam nying wakati mwazo hakuwa ivyo
Hahahaahhahahaahahahahaha hii komesha asee nimeipendaView attachment 471996
Huu ni moja ya mifano michache ambayo huwakuta jirani zangu....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole karibu kijijiniSasa huku mtu anajifanya rafiki nawewe kumbe ana lake jambo na mbona hayo ni machache tu kuna Muda natamanigi hadi kulia yani na niko pekeangu sina ndugu wala nini huku
Duuuuuuuh hadi mbwa anataka Udaku duuuuuuuuhView attachment 471996
Huu ni moja ya mifano michache ambayo huwakuta jirani zangu....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
I was there ila kwa I'd nyingine. Nilisahau title tu ila ulipoitaja ikanijia [emoji4][emoji4]Hahahaahhahahaahahahahaha Duh Wee mkareeeeeeeee aisee salute!
Hahaha...alikuwa na ukame wa hatari na pia ni domo zege. Alishindwa hata kukukalisha kitako mkayajenga [emoji23][emoji23]Sasa hiko kisa mpaka waleo yani hanipendiiiiiii ananizushia miskendo anachezea ndivo sivo yani