Ukiupata unitag mkuuNgoja niitafute..
Dhuuu pole ngoja nije kukufarijiSasa huku mimi ndo nachunguzwa kiasi kwamba Muda mwingine naamua tu kutotembea yani ukitoka tu skendo za kizush
Dhaaaa haitak kufunguka aisee
[emoji16][emoji16]Nishamzoea saivi napambana nae nishakua mwenyeji saivi kama mbwai mbwai.. Anaeza kuja na marafiki zake wa kiume akajifanya anatoka kasahau kitu huko. Akienda anakaa anakaa huko huku wale marafiki zake kuwaacha pale eti niwe napiga nao stori. Namimi natoka zangu nakua bize nayangu mpaka wanaamua kuondoka wenyewe. Mi nacheeeeka
Labda kwetu umasaini ila sio hapo masaki.Mbona zipo nyumba nyingi sana ambazo hazina jirani
Kama huku kwetu porini
Haa haa kweli unawakomoaNishamzoea saivi napambana nae nishakua mwenyeji saivi kama mbwai mbwai.. Anaeza kuja na marafiki zake wa kiume akajifanya anatoka kasahau kitu huko. Akienda anakaa anakaa huko huku wale marafiki zake kuwaacha pale eti niwe napiga nao stori. Namimi natoka zangu nakua bize nayangu mpaka wanaamua kuondoka wenyewe. Mi nacheeeeka
Click jina mahandow then utaona meseji zake upande wa kulia sijui ni elfu tano mia ngapi.Dhaaaa haitak kufunguka aisee
HahahahLabda kwetu umasaini ila sio hapo masaki.
Sasa juzi kati alitaka mazoea tena. Habari za kushikana shikana. Mara tukitaka kubishana koridoni hataki kupisha anakua anakuja mzima mzima iliotapakaa kama tugongane hivi nikienda pembeni ananifata nikirud nyuma huyo.. Mara nikitoka kuoga atake kunikumbatia eti waoooh. Mara ajisemeshe eti Wenawe hizi hips hizo zinahitaji mtu wa kuzibinya binya . Sasa wewe unaziacha tu yani yani yani yani yani yani mhHayajakukuta...je, huyo kitombi [emoji23][emoji23] utaweza kumvumilia na taarifa zake hizi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] . Noma sana. Hio ni chabo ama?View attachment 471996
Huu ni moja ya mifano michache ambayo huwakuta jirani zangu....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabla haujafika kimba ukiwa unaenda crater.Hahahah
Mi wa mkoani
Masaki ndio wapi?
Hahaha...hahaha...mpeleke shemeji yao hapo akae walau two weeks.Sasa juzi kati alitaka mazoea tena. Habari za kushikana shikana. Mara tukitaka kubishana koridoni hataki kupisha anakua anakuja mzima mzima iliotapakaa kama tugongane hivi nikienda pembeni ananifata nikirud nyuma huyo.. Mara nikitoka kuoga atake kunikumbatia eti waoooh. Mara ajisemeshe eti Wenawe hizi hips hizo zinahitaji mtu wa kuzibinya binya . Sasa wewe unaziacha tu yani yani yani yani yani yani mh
Sometimes sisi wanawake nao tunaongea kupitiliza. Halafu unakuta tumekaa nae tunamchota akili tu nayeye anafunguka kama yalivo. Hajiulizi mbona wenzake hawasemi za wame zao au anafikiri wenzie ni wasafi!????? Basi tu kuficha siri za wawili[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
No 3 aiseee hapo kweli
Ulipewa mtihani
No 1 huyo dem n wale wakushinda vibarazan na saloon kuweka
Cr moyon kwake n mwiko
Sawa mkuuMi mwenyewe sipendi habari za michanganyo
Thanks mkuuClick jina mahandow then utaona meseji zake upande wa kulia sijui ni elfu tano mia ngapi.
Then click kwenye messages.
Baadae zitakuja options mbili
-started
-replies
Click started utafute huo uzi.