Kero vituko na vioja vya majirani

Majirani zangu wako mbali sana,hivyo vimbwanga sijui vinaanzaje...

Huwa natafuta siku moja moja nawapitia kuwasalimia maana tutasahauliana sura.
 
mahondaw jibu pm basi kule unaniafa ya nashinda pm kungoja reply afu mtu mwenyewe unanikaushia. Sio fresh
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Aiseee nmechoka kucheka
N log out tu jf
 
Haha wewe jamaa hufai,
Unaharibu tena wakati nakuaminia.. Ha aha ha .
I will fight for my own then.
Hahaha...yaani wewe unaona stori nimeianzia mbaali comment ya 50nangapi sijui halafu tonge linidondokee mdomoni? ??

Hamna I will deal with you perpendicular parallel ..horizontal or vertical
 
Uswahilini nyumba za kupanga raha wake za watu kanga moko moko wanajitongozesha kwa sie vijana mabachela hio ladha adimu hupati sehemu mitaa ya kishua sihami uswazi
 
Hahaha...yaani wewe unaona stori nimeianzia mbaali comment ya 50nangapi sijui halafu tonge linidondokee mdomoni? ??

Hamna I will deal with you perpendicular parallel ..horizontal or vertical
Sasa mkuu unataka uwachukue wote ? mahondaw wangu na espy wako
Mkuu kuwa na utu.
Mtoto alishaanza kunielewa ujue.
Now i know my enemy is you. But i dont wanna fight you.
I leave the battle to my mahondaw and your espy
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Aiseee nmechoka kucheka
N log out tu jf
Haha mkuu yani kila sekunde na refresh page ila mtoto kapiga kimyaaa
Huyu jamaa deby atakuwa alimkeep bussy ila nishamharibia arudi tu kwa espy
 
Sasa mkuu unataka uwachukue wote ?@mahondaw wangu na espy..
Mkuu kuwa na utu.
Mtoto alishaanza kunielewa ujue.
Now i know my enemy is you. But i dont wanna fight you.
I leave the battle to my mahondaw and your espy
Saint, mimi mkuu mimi na wewe hatuna uadui adui yetu ni papuu. ...chi

Shambulia pm acha nikabe majukwaani [emoji23][emoji23]
 
Hahaha...yaani wewe unaona stori nimeianzia mbaali comment ya 50nangapi sijui halafu tonge linidondokee mdomoni? ??

Hamna I will deal with you perpendicular parallel ..horizontal or vertical
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Haa haaa
Ulime upande upalilie
Nusu af jamaa anakujq
Kumalizia na kuvuna
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Aiseee cjui utajutiaje
 
Uswahilini nyumba za kupanga raha wake za watu kanga moko moko wanajitongozesha kwa sie vijana mabachela hio ladha adimu hupati sehemu mitaa ya kishua sihami uswazi
Hvi kuna raha gani ya kuish
Mitaa ya kishuaa aisee maana
Naona,wanakosa vingi
 
Saint, mimi mkuu mimi na wewe hatuna uadui adui yetu ni papuu. ...chi

Shambulia pm acha nikabe majukwaani [emoji23][emoji23]
Ha ha h.. Wewe huoni Pm nakaushiwa imebidi nije tu huku jukwaani.
Unawahadaa kwa maneno matamu hadi nasahauliwa pm kule mwenyewe lonely. Not fair bro!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Haa haaa
Ulime upande upalilie
Nusu af jamaa anakujq
Kumalizia na kuvuna
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Aiseee cjui utajutiaje
Hawa ndiyo wanafanya tujinyonge....sumu zote hizi halafu amchukue mtoto kiurahisi.
 
Hvi kuna raha gani ya kuish
Mitaa ya kishuaa aisee maana
Naona,wanaosa vingi
Mimi huku kitaa majirani zangu wanajiachiaje na kikanga kimoja kila week end wapo nje wanajifanya wanafua. Mimi nikitoka zangu najifanya kama siwaoni vile kumbe retina imeshameza image zote kitambo
 
Hapa kwetu kuna majirani ila kero sizijui mana sijawah shinda home mchana.... Nayoka 12 asub natud 5 usiku.... Kero kazini bhana majirani hawanipi chench et wanaogopa chumaulete...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…