Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Haha wewe jamaa hufai,Hahahaha, mahondaw ebu nieleze kwqnza ukweli huyo mbabu aliyekubaka sio huyu
Unaharibu tena wakati nakuaminia.. Ha aha ha .
I will fight for my own then.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha wewe jamaa hufai,Hahahaha, mahondaw ebu nieleze kwqnza ukweli huyo mbabu aliyekubaka sio huyu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]mahondaw jibu pm basi kule unaniafa ya nashinda pm kungoja reply afu mtu mwenyewe unanikaushia. Sio fresh
Hahaha...yaani wewe unaona stori nimeianzia mbaali comment ya 50nangapi sijui halafu tonge linidondokee mdomoni? ??Haha wewe jamaa hufai,
Unaharibu tena wakati nakuaminia.. Ha aha ha .
I will fight for my own then.
Thank you friend pia kwakoNawewe ni mwelewa na unajitambua??? Much congratulations friend.
Dah angebanduliwa nyama ya tako na dogView attachment 471996
Huu ni moja ya mifano michache ambayo huwakuta jirani zangu....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa mkuu unataka uwachukue wote ? mahondaw wangu na espy wakoHahaha...yaani wewe unaona stori nimeianzia mbaali comment ya 50nangapi sijui halafu tonge linidondokee mdomoni? ??
Hamna I will deal with you perpendicular parallel ..horizontal or vertical
Ameanza hayo baada ya viroba kupigwa marufuku?Mimi buana jirani yangu kajua nafanyankazi TBL basi naona analazimisha urafiki salaam nying wakati mwazo hakuwa ivyo
Haha mkuu yani kila sekunde na refresh page ila mtoto kapiga kimyaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aiseee nmechoka kucheka
N log out tu jf
Saint, mimi mkuu mimi na wewe hatuna uadui adui yetu ni papuu. ...chi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahaha...yaani wewe unaona stori nimeianzia mbaali comment ya 50nangapi sijui halafu tonge linidondokee mdomoni? ??
Hamna I will deal with you perpendicular parallel ..horizontal or vertical
Hvi kuna raha gani ya kuishUswahilini nyumba za kupanga raha wake za watu kanga moko moko wanajitongozesha kwa sie vijana mabachela hio ladha adimu hupati sehemu mitaa ya kishua sihami uswazi
Ha ha h.. Wewe huoni Pm nakaushiwa imebidi nije tu huku jukwaani.Saint, mimi mkuu mimi na wewe hatuna uadui adui yetu ni papuu. ...chi
Shambulia pm acha nikabe majukwaani [emoji23][emoji23]
Hawa ndiyo wanafanya tujinyonge....sumu zote hizi halafu amchukue mtoto kiurahisi.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Haa haaa
Ulime upande upalilie
Nusu af jamaa anakujq
Kumalizia na kuvuna
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aiseee cjui utajutiaje
Unaishi masaki ama kule ostabei.... Kule majuto alikomlaumu mwanae jb kwa nn majiran hawatembelean na kujuliana hali na kuombana vitu.... Krb uswaz kwetuNaomba niwasubiri maana sisi hatuna jirani
Mimi huku kitaa majirani zangu wanajiachiaje na kikanga kimoja kila week end wapo nje wanajifanya wanafua. Mimi nikitoka zangu najifanya kama siwaoni vile kumbe retina imeshameza image zote kitamboHvi kuna raha gani ya kuish
Mitaa ya kishuaa aisee maana
Naona,wanaosa vingi