Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Ona kapotea tena! Hebu jifiche kwa mudaHa ha h.. Wewe huoni Pm nakaushiwa imebidi nije tu huku jukwaani.
Unawahadaa kwa maneno matamu hadi nasahauliwa pm kule mwenyewe lonely. Not fair bro!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona kapotea tena! Hebu jifiche kwa mudaHa ha h.. Wewe huoni Pm nakaushiwa imebidi nije tu huku jukwaani.
Unawahadaa kwa maneno matamu hadi nasahauliwa pm kule mwenyewe lonely. Not fair bro!
Haa haa haa
Kaenda wapi? Manake huku pm hayupo.Ona kapotea tena! Hebu jifiche kwa muda
ha haa haa aiseeeMimi huku kitaa majirani zangu wanajiachiaje na kikanga kimoja kila week end wapo nje wanajifanya wanafua. Mimi nikitoka zangu najifanya kama siwaoni vile kumbe retina imeshameza image zote kitambo
Mtoto espy alishafika bei kwa jamaa, sasa nashangaa kwa nini jamaa amechenji gia angani kama ukawa.Haa haa haa
Mkuu naona jamaa
Anabadili gear hata ikiwa bdo
Haija fka kuchanger[emoji1]
Af mlima bdo hata hajafka nusu
Cjui utaweka no ngap
Umpige overtake
Kwa mtt espy kama
Amelemewa hiv pale[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Walaaaaa aiseeeHawa ndiyo wanafanya tujinyonge....sumu zote hizi halafu amchukue mtoto kiurahisi.
Daaaaah !! Wewe jamaa kumbe upo pande za tabata.ha haa haa aiseee
Kama pande za tabata walaaa
N hatar majiran wanajitanda na
Kanga moto tu yan
Hawajui kama minara inapata shida
Aisee huyu jamaa deby kaenda wapi tena .. Akikaa kimya mi kiroho kinaniuma sana aisee.Walaaaaa aiseee
N hujumaa hiii
Haikubalik
Mtoto espy alishafika bei kwa jamaa, sasa nashangaa kwa nini jamaa amechenji gia angani kama ukawa.
Mtoto mzuri espy mtoto ana lips tamu kama nini. Mtoto mashalah!! Nilianza kurusha ndoana ila nikaona isiwe shida nikmuachia jamaa.
Nikasepa kwa my cute my dream my angel my ovakado mahondaw... Hamadi mtoto ndio anaanza kunielewa nakuta jamaa katua tena huku kwenye thread ya mtoto.
Huyu jamaa ni kiwembe. Matokeo yake atawakosa wote
Ha ha h jukwaani mkuu itabidi nifanye hivyo.Haha...Mzee mwenzangu kwa heshima na taadhima ya jopo la utongozaji JF nimeamua kukuachia huyu.
Ila tongozo liwe Jukwaani pm unaficha yapi yote tulishawaambia wakati tunawatoa bikra.
Mmh!Mamito Jirani si mpaka mpange au mkae nyumba moja ! Hata kama kuna umbali wa mita 500 huyo ndo jirani yako
HahahahKabla haujafika kimba ukiwa unaenda crater.
Maasai ndiyo wanaishi mbali mbali bhna. Unaweza kuta familia moja ipo zaidi ya km 4 au 5.
Naishi huku poriniUnaishi masaki ama kule ostabei.... Kule majuto alikomlaumu mwanae jb kwa nn majiran hawatembelean na kujuliana hali na kuombana vitu.... Krb uswaz kwetu
Hahahaha....mimi kama unakabinamu au kadada kazurii nirushie huku sina shida wala wewe.Ha ha h jukwaani mkuu itabidi nifanye hivyo.
Ila na wewe sasa ndugu yangu kwa vile ni mtaalamu wa mistari.
Uweke mistari yako pia kunipa support.
Siku ya birthday ya mtoto mwezi wa tatu nitakupa nafasi ya kufungua shampeini
Hahahah
Wamasai mmetisha manake ikitokea tatizo hapo na simu hakuna ni shida
Si mnagegedwaga vichakani sana?Mmh!
Aya basi na sisi tuna majirani
Hahahah
Wamasai mmetisha manake ikitokea tatizo hapo na simu hakuna ni shida
Naishi huku porini
Nyumba moja hadi nyingine imetenganishwa na vichaka kama nane hivi
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mtoto espy alishafika bei kwa jamaa, sasa nashangaa kwa nini jamaa amechenji gia angani kama ukawa.
Mtoto mzuri espy mtoto ana lips tamu kama nini. Mtoto mashalah!! Nilianza kurusha ndoana ila nikaona isiwe shida nikmuachia jamaa.
Nikasepa kwa my cute my dream my angel my ovakado mahondaw... Hamadi mtoto ndio anaanza kunielewa nakuta jamaa katua tena huku kwenye thread ya mtoto.
Huyu jamaa ni kiwembe. Matokeo yake atawakosa wote
si unajua pale hatuzalishi virobaKwahyo TBL ndo chaka la kutishia watu siyo..
Kwetu mbali kweli kweli
Yani sana tuSi mnagegedwaga vichakani sana?
Kunahat hat huendaAisee huyu jamaa deby kaenda wapi tena .. Akikaa kimya mi kiroho kinaniuma sana aisee.
Asije akawa amepewa ushirikiano.
Mh najua unataka niahirishe posa yangu ila hao WA vichakan ndio sild am a used but newMmh!
Aya basi na sisi tuna majirani
Hahahah
Wamasai mmetisha manake ikitokea tatizo hapo na simu hakuna ni shida
Naishi huku porini
Nyumba moja hadi nyingine imetenganishwa na vichaka kama nane hivi