Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ndio unanishauri hivyo?No retreat no surrender
Ila kweli kumiliki mtoto mkali kama wewe sio mchezo.
Si unaona kina Daby wanavyokutolea macho walishaanza kuharibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio unanishauri hivyo?No retreat no surrender
Nimesahau [emoji17]Kwa hiyo umesahu nachopenda....[emoji57][emoji57]
Naomba uniambie hilo eneo lenu ili nitazame kama hakuna jirani.
Ushawahi kuishi kijijini kwani?Kwani nawewe unapendelea vichakani??
Jirani si mpaka mpange au mkae nyumba moja. hata kama kuna kaumbali fulani toka unapoishi hadi anapoishi pia ni jirani yako. Halafu mimi siishi nyumba ya kupanga sasa. Ni nyumba za taasisi fulani tunaishi watumishi wengi wengi tu ila kuna jirani mmoja utadhani yeye ndo landlord yani ana manenoooo ana gubuuu unaeza weka kitu hapa ukakikuta nje mara ufanye hiki akataze yani watu wana ngebe mnoo
Yani weweWasiwasi gani!!??? tatizo hujiamini
Yani wewe lazima utakuwa hujatongozwa na mtua ambaye anakupenda sanaaaa.Wasiwasi gani!!??? tatizo hujiamini
Nimesema 'mfano.'Walimu na manesi pia Wana kotaz
Saint Ivuga leave words put the music [emoji23][emoji23]Kweli ujue saint anamchekesha yani analalamika mnoo