Kero vituko na vioja vya majirani

Kero vituko na vioja vya majirani

Jirani si mpaka mpange au mkae nyumba moja. hata kama kuna kaumbali fulani toka unapoishi hadi anapoishi pia ni jirani yako. Halafu mimi siishi nyumba ya kupanga sasa. Ni nyumba za taasisi fulani tunaishi watumishi wengi wengi tu ila kuna jirani mmoja utadhani yeye ndo landlord yani ana manenoooo ana gubuuu unaeza weka kitu hapa ukakikuta nje mara ufanye hiki akataze yani watu wana ngebe mnoo

Sasa nimekuelewa vizuri. Nafikiri mfano wa hizo nyumba ni kama pale Shekilango flats/ apartments. Au quarters za police, magereza,au jeshi.
 
Sasa nimekuelewa vizuri. Nafikiri mfano wa hizo nyumba ni kama pale Shekilango flats/ apartments. Au quarters za police, magereza,au jeshi.
Walimu na manesi pia Wana kotaz
 
Sasa nimekuelewa vizuri. Nafikiri mfano wa hizo nyumba ni kama pale Shekilango flats/ apartments. Au quarters za police, magereza,au jeshi.
Elimu na idara ya afya pia Wana kotaz
 
Back
Top Bottom