Kero: Wasukuma kuongea kilugha kila mahali

Kero: Wasukuma kuongea kilugha kila mahali

Jomba kama huwez kujinadi na kabila lako kaa kimya huo ni utumwa wa fikra zako. Nchi huru hii, kama unaionea aibu lugha yako ya kwanza ni upumbavu wako.

Tojaghi baghosha, lekanagi na katumbafu ak'haa
Sawaa mamii twakwigagwa.
 
Huyu jamaa anasumbuliwa na inferiority complex. Yaani lugha/kabila lake analionea aibu kulizungumza mbele za watu, halafu anakuwa na hasira kwa wanaoweza. Hii ni kwa sababu anaona yeye hawezi kufanya hivyo, hivyo anahisi kupasuka ndo maana imebidi aandike humu ili apumue. Huo ni udhaifu.

You're utterly inferior!!

Lekaga ubhubuli, nilikage nayombe mkabila yane...

Nywanoko....!
 
Kwa akili ya msukuma kama wa Shy. Ni haki yake kuongea kisukuma pahala popote. Imagine ukiwa Shy ukienda kusini Tabora utaongea kisukuma au kinyamwezi ambacho ni kisukuma kilichoendelea. Ukienda magh. Yaani Geita. Chato. Biharamulo lugha ni kipush. Kaskazini yaani Mwanza na Magu mpaka mara ni kipush. Ukienda mash yaani Simiyu ni kisukuma. Msukuma kumbuka hajatembea mbali. Yeye akienda mbali ni Sumbawanga kuchunga halafu anatembea porini malishoni yaani mshamba flani hivi. Unategemea kiswahili atakijulia wapi ? Tanga nzima kuna wasukuma 12 Dar es sslaam wako 240 moro wapo 70 waliobaki wote wako Tabora. Singida. Simiyu. Mara. Mwanza. Geita. Kagera na Shy.
 
mleta mada unachukia hiyo tabia au chuki zako zimeongezwa pia na yule jamaa wa magogoni? Lyanyana ebhe
 
Kwa akili ya msukuma kama wa Shy. Ni haki yake kuongea kisukuma pahala popote. Imagine ukiwa Shy ukienda kusini Tabora utaongea kisukuma au kinyamwezi ambacho ni kisukuma kilichoendelea. Ukienda magh. Yaani Geita. Chato. Biharamulo lugha ni kipush. Kaskazini yaani Mwanza na Magu mpaka mara ni kipush. Ukienda mash yaani Simiyu ni kisukuma. Msukuma kumbuka hajatembea mbali. Yeye akienda mbali ni Sumbawanga kuchunga halafu anatembea porini malishoni yaani mshamba flani hivi. Unategemea kiswahili atakijulia wapi ? Tanga nzima kuna wasukuma 12 Dar es sslaam wako 240 moro wapo 70 waliobaki wote wako Tabora. Singida. Simiyu. Mara. Mwanza. Geita. Kagera na Shy.
Swala la kwamba moro kunawasukuma 70 si kweli

Nusu ya wilaya ya kilosa ni wasukuma tupu robo tatu ya wilaya ya mahenge ulanga ni wasukuma tupu wewe huna data za kutosha.

Harafu kama hujui nusu nzima ya watanzania ni wasukuma
 
Hahahaa bila kumsahau yule msukuma aliyepo oman anaongea kisukuma nmeitafuta sana hyo crip mwenye nayo aiattach hapa
 
Wakuu,

Natumai asubuhi ipo murua kwenu,

Jamani kuna hii kero ya hawa ndugu zetu kutoka Shinyanga bila kusahau Mwanza na maeneo mengine ya kupenda kuongea kilugha.

Yaani wanadhani hii nchi ina kabila moja tu wao sehemu yoyote ni kuongea kisukuma kwenda mbele.

Imagine mtu umemtoa msichana mzuri out mmekaa mnapata msosi mara anapokea simu anaanza kupayuka kilugha.

Mnaudhi sana nyie jamaa.
Yaani acha kabisa, ukiwa kabila lingine wanataka uongee lugha yao tuu. Hawaamini kama kuna lugha nyingine Tanzania, watakushangaa kama huongei kisukuma. Njoo shule zao za kata sasa, mtoto hataki shule sasa utamsikia anasema "MIMI BADO KUJUA" akimaanisha hajui kusoma wala kuandika kumbe hataki shule.
Labda watabadilika baadae.
 
Wakuu,

Natumai asubuhi ipo murua kwenu,

Jamani kuna hii kero ya hawa ndugu zetu kutoka Shinyanga bila kusahau Mwanza na maeneo mengine ya kupenda kuongea kilugha.

Yaani wanadhani hii nchi ina kabila moja tu wao sehemu yoyote ni kuongea kisukuma kwenda mbele.

Imagine mtu umemtoa msichana mzuri out mmekaa mnapata msosi mara anapokea simu anaanza kupayuka kilugha.

Mnaudhi sana nyie jamaa.
Usiwe mjinga wewe,unatakiwa ujue kuna lugha ambayo mnakuwa mmezoea kuongea na watu wako mfano mzazi wako anakupigia tangu uzaliwe hamjawahi kuongea lugha tofauti na kisukuma anakupigia simu mko sehemu mnakunywa nikuogope wewe nianze kuongea kisw na baba kisa niko na wewe? Ujue mazoea ni kitu kigumu sana........kwa hiyo jaribu kujiongeza ujue kuna familia ambazo huchanganya lugha kisw na lugha ya asili lkn kuna familia ambazo huongea kilugha tu.......kwa hiyo pevuka ndugu usiwe rigid!!
 
Nachowapenda wasukuma wanajali sana lugha yao ya asili, nimeishi shy mno yaani wao kijijini au mjini wanatwanga tu kisukuma sio kama sisi kwetu (ujiji) ukisikika unaongea kilugha wanaanza kukucheka kua umetoka shamba, au mrundi. Mwisho wa siku watoto wanakua hawajui lugha yao ya asili na utamaduni ndo unapotea taratibu.

NB. Msukuma pure hasikilizi bongo fleva utamkuta kafunga redio kiunoni ameachia saautii kuuuubwa huku yupo ananyonga baskeli. Wanasikiliza sana wasananii wao kama Madebe,Ng'Wana shindu, etc

-R Davincio..
Nitumie nyimbo za madebe au sumbi kama unazo
 
Sasa kwani hili Jembe ni Msukuma? Ushamba wenu kila anayeongea Kisukuma kwenu ni Msukuma.
Sisi hatuangalii hayo huku kwetu ukijidai kumwaga vihashawa vyako mtoto akizaliwa utakuwa umepoteza wewe! Jembe liwe li-Rundi au li-Nyarwanda maadam limeshajitambulisha kwamba ni li-Sukuma wacha lipige kazi! Na litawakimbiza mpaka mkome!
 
Swala la kwamba moro kunawasukuma 70 si kweli

Nusu ya wilaya ya kilosa ni wasukuma tupu robo tatu ya wilaya ya mahenge ulanga ni wasukuma tupu wewe huna data za kutosha.

Harafu kama hujui nusu nzima ya watanzania ni wasukuma
Nilikua nakuchokonoa mtani. Unajua nyie ni watoto wangu. Ndio maana kwetu tunasema. Mzigo mzito mpe msukuma abebe. Lkn hili la nusu wa Tz ni wasukuma ni urongo. Tanzania kuna wasukuma na wanyamwezi na wanyantuzu lakhi nane na ushee tu.
 
Back
Top Bottom