Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Haya yote yalisababishwa na mwendazake na vitambulisho vyake hewa...Kwa wale tunaotumia barabara ya Dar Bagamoyo kila siku mtakubaliana na kero hapo Bunju B.
Hapa vibanda vya machinga vipo hadi shoulder za barabara, na wapita kwa miguu, baiskeli, mikokoteni na bodaboda na bahaji xote wanagomnea kupita.
Matokeo yake asubuhi na jioni hapapitiki, foleni hadi kilometa pande zote.
Serikali haioni kero hii?
Barabara hii ndio moja ya njia kuu kuelekea Kaskazini mwa nchi!
Hivi tunataka kila kitu mama Samia atoe agizo?
Mzee Makalla upo hapo?
Na serikali ipo tuu!Haya yote yalisababishwa na mwendazake na vitambulisho vyake hewa...
Hapo Bunju B vibanda vimejengwa mpaka juu ya mitaro ya maji
Na hakuna wa kuwagusa...
Acha kuwachomea wana [emoji2958]Kwa wale tunaotumia barabara ya Dar Bagamoyo kila siku mtakubaliana na kero hapo Bunju B.
Hapa vibanda vya machinga vipo hadi shoulder za barabara, na wapita kwa miguu, baiskeli, mikokoteni na bodaboda na bahaji xote wanagomnea kupita.
Matokeo yake asubuhi na jioni hapapitiki, foleni hadi kilometa pande zote.
Serikali haioni kero hii?
Barabara hii ndio moja ya njia kuu kuelekea Kaskazini mwa nchi!
Hivi tunataka kila kitu mama Samia atoe agizo?
Mzee Makalla upo hapo?
Hao machinga basi waweke bidhaa zso katikati ya barabara, wateja ful ful!Acha kuwachomea wana [emoji2958]
Waweke mpaka chooniHao machinga basi waweke bidhaa zso katikati ya barabara, wateja ful ful!