majenereta si yapo mkuu.Wiki hii kukatika umeme kunanitesa kuliko kawaida, wanakata asubuhi saa 12 wanarudisha jioni saa 12 na nusu. Masaa zaidi ya 12.
Niseme wazi siku zile 10 za mgao zilizotolewa sikuwa na kazi nyingi sana hivyo wala sikuona kama ni issue sana na wala sikuathirika.
Balaa lipo wiki hii nina kazi nyingi zinazohitaji umeme lakini ndio hivyo tena.
Nimeshindwa kuvumilia bora nitoe hili dukuduku roho yangu itulie.
Watengenezaji na wauzaji wa juices za matunda!Chukulia ndo mtu unategemea saluni
Si ndo anatafuta hela alafu umeme wanamkatia..tafuta hela kijana!
😄hii kauli yenye ukweli inaniumaga
yaani kwa vyovyote vile awe na hela aishi sehemu za vigogo kusikokatwa umeme 😁Si ndo anatafuta hela alafu umeme wanamkatia..
hitilafu😁Kwani watendaji wake wanasemaje
Ha ha nimependa hiyo kwa vyovyote vile 😀😀yaani kwa vyovyote vile awe na hela aishi sehemu za vigogo kusikokatwa umeme 😁
Aisee.....Imagine umekata mda huu .. na hal ya hewa hii wakuu tutalala kwel.. wengne bila kipupwe usingiz hauji
Hivi wakubwa wanajali au ndo kukomeshwa?
Wakuu.. this is too much
Maeneo yapi unaishi? Mimi huku kwetu sikumbuki umeme umekatwa liniImagine umekata mda huu .. na hal ya hewa hii wakuu tutalala kwel.. wengne bila kipupwe usingiz hauji
Hivi wakubwa wanajali au ndo kukomeshwa?
Wakuu.. this is too much
Na motoni hakuna mvuaTulia mkuu, kaburini hakuna umeme wala ac