Kero ya Kukatika Umeme Mara kwa Mara: Wiki hii kukatika umeme kunanitesa kuliko zile siku 10 za mgao

Kero ya Kukatika Umeme Mara kwa Mara: Wiki hii kukatika umeme kunanitesa kuliko zile siku 10 za mgao

Hawa washenzi wameanza tena upuuzi na yule maharage aliongea maharage yake eti tatizo miundombinu, haya tukawapa zile sikukumi za maumivu ya kukaa bila umeme naona tatizo limeanza kurudi palepale mdogo mdogo.

Leo Mbezi beach makonde wamekatakata umeme Kama Mara sita toka asubuhi mpaka jioni.

Hii nchi Kuna mtu ataamua kujitoa mhanga iwe fundisho.
 
Imagine umekata mda huu .. na hal ya hewa hii wakuu tutalala kwel.. wengne bila kipupwe usingiz hauji

Hivi wakubwa wanajali au ndo kukomeshwa?

Wakuu.. this is too much
tafuta demu mkuu...umeme hautumiki kabisa...kama mtaona joto..tokeni nje hakuna atakayewaona na giza
 
Hapa narun'gombe kariakoo tangia saa nne usiku hamna mpaka sasa hivi kumekucha
 
Sisi Kama viongozi hatutishwi na kelele zako tunajua utaongea lakin badae utazoea kama ulivyozoea tozo
 
Imagine umekata mda huu .. na hal ya hewa hii wakuu tutalala kwel.. wengne bila kipupwe usingiz hauji

Hivi wakubwa wanajali au ndo kukomeshwa?

Wakuu.. this is too much
Dogo unapenda Sana anasa. Ukilala bila pupwe utakufa?
 
Hali nimbaya sana Mikoani
Yaani hakuna siku umeme umekaa masaa 7Bila kukatika
Saivi Kila siku usiku lazima Wakate
 
Back
Top Bottom