Kero ya Kukatika Umeme Mara kwa Mara: Wiki hii kukatika umeme kunanitesa kuliko zile siku 10 za mgao

Kero ya Kukatika Umeme Mara kwa Mara: Wiki hii kukatika umeme kunanitesa kuliko zile siku 10 za mgao

Ngoja akina Fallacy na Cm no..... Waje kwa mihemuko kukukandia kuwa una chuki na mwenye mamlaka ya taasisi hiyo [emoji87]
 
Leo umeme ulikatika na umechukua mda mrefu kurudi na kazi zetu zina tegemea umeme pia nilishindwa kufatilia vizuri Urusi kafikia wapi kuichukua Ukraine na tumefiwa karibu wanajeshi 500

Mrusi mweusi

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Umeme shida kwenu tu hama huko ohooooo hamia Dodoma
 
Muda huu umeme umekatika arusha.....
Jana tulishinda siku nzima bila umeme.....
Sishauriki
 
Hilo tatzo kubwa la umeme umeliona wapi.

Umeme ukikatika mtaani kwenu unahisi ni Nchi nzima.
Umeme unakatika sana na migao imekuwa mingi, huku nilipo jana na juzi walifanya mgao masaa 12 ya mchana bila taarifa na muda huu umeme umekatika
 
Mchongo wa kuandaa mazingira ya kuwauzia wananchi 'ma generator' unatengenezwa hapa..kuweni wapole.
 
Na Bado,
You will feel unlucky to be born katika enzi hizi,
amejipanga kukera zaidi. Na anaona yupo with the best strategies, pia hashauriki kama alivokuwa aliyelala, Tofauti ni kuwa yule marehemu alikuwa na Akili zenye tija kwa kujenga madaraja ya Tanganyika kuvuka!
 
CCM hoyee..

Maendereooo hayana vyama.

Nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom