Kero ya Mabasi ya Mikoani kuchochea udini

Yapo yanayopiga kaswida tu sheikh, panda hayo!
 
Mabasi yanapaswa kuwa kimya, full stop. Anaetaka movie au miziki atumie devices zake. Ni 2024 for God's sake
 
Kwani umelazimishwa kupanda? Nyie jirani zetu mnashida sana...

Kuna ofisi ya mtu binafsi nishawahi kwenza kufanya nae kazi yeye ni muislam na watu wake alioajiri wote ni waislamu mkristo mmoja tu.. na sijui kapate.. ila sasa kwa nilivyo ona alikuwa anaishi kwa tabu sana.. wanamlazimisha avae ma habaya kila siku... Mimi nimefika pale wakaanza niuliza jina
. Nimewambia eti unasali dhehebu gani? (Nikajiongeza Hawa mara nyingi wa7bato ndo wanasumbuana sana.. nikawambia) sasa nikajiuliza hayo yote ya nini? Hapo ofisini kila siku wanapiga zile nyimbo zao za mahadhi ya kiarabu... Lakini nikapotezea tu... Nikafuata kilicho nipeleka kwa muda wote niliokuwepo pale na nikawa naishi kirafiki kabisa.. sikutaka kuingilia imani yao maana hii ni Tanzania ya wote... Usahihi wa imani ya kweli tutaijua siku ya mwisho tuishi kwa amani tu...


Ila ninyi wenzetu... Duuh!! Mpaka kuna wakati na fikirigi ili uwe wa imani hiyo lazima nati moja kwenye ubongo ilegee... Acheni hizo bana.....
 
Ni bora kuliko nyimbo za kishetani za akina domo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…